HT😀riving force ipo nzuri...modric,james na kross wanaelewana vzr...bale na ronaldo wako fresh isipokuwa benzema ni jipu namba moja...danilo amejitahidi kias flan japokuwa anachelewa kufanya maamuzi...james aongeze umakini katika kufanya maamuzi...beki za kati Ramos na Varane wanajisahau sana....kama mara nne hv hawa jamaa wamewageuza kama chapati.....ingekuwa wako makini wangeshatupiga zaidi ya moja kwa sababu ya beki za kati kutowasiliana vyema...Navas kaokoa michomo mingi na hatar...hili goli moja hata yeye limemkera kabisa....
Zidane atuondolee huyu benzema pale...vinginevyo isco disco akiingia badala ya bale au james ni sawa...coentrao apewe dakika 20 za mwisho...kiko ajifunze kwa navas jinsi wanavyofanya,japokuwa navas anaweza rekebisha jambo moja kuwa siyo kila mpira niwakupunch..