Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,376
Jamaa anapiga zaidi ya nyto aisee, khaa sio kuflopp kule, hayupo kabisa na wenzie!! Anazingua kwa kweli!!Ya mamaake benzema...ni nyeto anapiga au nn
Jamaa anapiga zaidi ya nyto aisee, khaa sio kuflopp kule, hayupo kabisa na wenzie!! Anazingua kwa kweli!!Ya mamaake benzema...ni nyeto anapiga au nn
Thubutuuu hao sio Bate au ShaktarCristiano yuko vizuri leo hvyo hat trick inamuhusu
HT😀riving force ipo nzuri...modric,james na kross wanaelewana vzr...bale na ronaldo wako fresh isipokuwa benzema ni jipu namba moja...danilo amejitahidi kias flan japokuwa anachelewa kufanya maamuzi...james aongeze umakini katika kufanya maamuzi...beki za kati Ramos na Varane wanajisahau sana....kama mara nne hv hawa jamaa wamewageuza kama chapati.....ingekuwa wako makini wangeshatupiga zaidi ya moja kwa sababu ya beki za kati kutowasiliana vyema...Navas kaokoa michomo mingi na hatar...hili goli moja hata yeye limemkera kabisa....
Zidane atuondolee huyu benzema pale...vinginevyo isco disco akiingia badala ya bale au james ni sawa...coentrao apewe dakika 20 za mwisho...kiko ajifunze kwa navas jinsi wanavyofanya,japokuwa navas anaweza rekebisha jambo moja kuwa siyo kila mpira niwakupunch..
Morata akiingia atatusaidia sana, anaweza kukaa na mpira anaweza kupunguza watu, anaweza kukaba, Zizou afikirie kuhusu huyu kijana.In the 1st half, Benzema has been quite sloppy tonight. Bora aje Morata awatie kash kash pale mbele. Hawa wetu.
Sahihi kabisa mkuuGood analyse Tall. Zidane anatakiwa abadilishe formation and then substitute players in the 60th. Defensive problems ndio iliyotufanya tukose raha game mbili zilizopita.