Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,881
Marco Asensio has been nominated for the Golden Boy Award.
Hii award inatolewa kwa ajili ya under 21 player in europeMarco Asensio has been nominated for the Golden Boy Award.
Danilo alijitahid sana kwa kweli!! ila alinichekesha kwa coment yake baada ya game, kwamba Eibar wakae chonjo, hasira zote zitaishia kwao hiyo jumapili!!Kweli kabisa Jana alipiga kazi kubwa sana upande wa kushoto licha ya kwamba cio upande wake lkn alichoelekezwa alikifanya kwa morale
Morata vp tena, alipata pancha nini, anahitajika sana jumapili hii. Eibar wapo vizur sana na si wakuwachukulia poa, ila tunatakiwa tuwapige goli nyngi ili confidence ya vijana wetu irudi.Modric, Casemiro and Morata trained using the indoor facilities.
Ni habar njema sana hii, Marcelo anaweza kurudi mapema tofauti na ilivyopangwa.Marcelo, who is still in the process of recovery, ran alone out on the pitch
![]()
Itakuwa poa sana endapo atarud mapema.Ni habar njema sana hii, Marcelo anaweza kurudi mapema tofauti na ilivyopangwa.
..Mimi nasubiria Tu Ozil akubali kuja Santiago!!