Baada ya saa kuwekwa betri,iliendelea kufanya kazi isipokuwa muda wake haukuwa sahihi.Assume kabla ya kuondoka ali-set muda saa 4.00.Akafika kwa jirani,saa ya jirani ilikuwa inasoma saa 7.00,akakaa masaa 10,baada ya hapo akafika home.Assume toka alivyo-set saa yake,yamepita masaa 12,chukua masaa12-masaa 10 aliyokaa kwa jirani=masaa 2.Haya masaa 2 ni ya safari ya kwenda na kurudi(kwenda lisaa moja na kurudi lisaa moja),safari ya kwenda kwa jirani ni muda wa masaa(2/2)=1.Kwa hiyo alipofika kwa jirani,saa ya jirani ilikuwa inasoma saa 7 na ya bwana khalifa ilikuwa inasoma saa(4 plus saa 1 la safari=5),kwa hiyo saa ya khalifa itakuwa nyuma kwa masaa mawili(2).kwa hiyo bwana khalifa alipofika home,aliirekebisha saa yake kwa kuipeleka mbele masaa mawili.Nimejaribu kutumia mfano kuonyesha jinsi khalifa alivyo-adjust saa yake.Thumb up kwa wote mlioshiriki,b blecd!