Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Apr 29, 2012 #241 ni ujinga kuipinga ccm kama Mkinga halafu kumbe gamba
W wajinawangu Senior Member Joined Apr 3, 2012 Posts 128 Reaction score 20 Apr 29, 2012 #242 huo wote ni uijnga!
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Apr 29, 2012 #243 ni ujinga kuwa kanisani unaendelea na ibada huku ukiwaza jinsi utakavyofa mapenzi na kimada wako
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Apr 29, 2012 #244 ni mjinga anae soma thread hii na kukosa cha kuchangia wakati kinachozungumzwa ni mambo ya kawaida ya kila siku
ni mjinga anae soma thread hii na kukosa cha kuchangia wakati kinachozungumzwa ni mambo ya kawaida ya kila siku
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,008 Apr 30, 2012 #245 Kikwete kuwajibika kwa CC badala ya wananchi.
N Ndaskoniax Member Joined Apr 29, 2012 Posts 20 Reaction score 1 Apr 30, 2012 #246 Umeonaaa eeeeeehhhhh?????
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Apr 30, 2012 #247 ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,737 Apr 30, 2012 #248 pera said: ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda Click to expand... Ni ujinga kushindwa kutofautisha kupenda na kutamani.
pera said: ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda Click to expand... Ni ujinga kushindwa kutofautisha kupenda na kutamani.
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 30, 2012 #249 ni ujinga kwa wachumba kujifanya wananyimana uroda mpaka wafunge ndoa wakati huko pembeni wanagawa kama kawa.
ni ujinga kwa wachumba kujifanya wananyimana uroda mpaka wafunge ndoa wakati huko pembeni wanagawa kama kawa.
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 30, 2012 #250 pera said: ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda Click to expand... ni ujinga kumtongoza kila msichana mzuri unayemwona na kumtamani...kwani yawezekana ni dadako.
pera said: ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda Click to expand... ni ujinga kumtongoza kila msichana mzuri unayemwona na kumtamani...kwani yawezekana ni dadako.
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 30, 2012 #251 ni ujinga kudhani kuwa kutoshiriki uchaguzi basi ujachagua kiongozi kumbe umeshiriki kuchangua kiongozi bomu
ni ujinga kudhani kuwa kutoshiriki uchaguzi basi ujachagua kiongozi kumbe umeshiriki kuchangua kiongozi bomu
C Chassarsenal Member Joined Apr 14, 2012 Posts 91 Reaction score 3 Apr 30, 2012 #252 Ni ujinga kiongozi mjinga kutotaka kujiuzulu...
stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,106 Apr 30, 2012 #253 ni ujinga kuchangia mambo ya kijinga! Wakat huo ulieandika ujinga unacheka kicheko cha kijinga.
R R-ELLY Member Joined Aug 2, 2011 Posts 17 Reaction score 1 Apr 30, 2012 #254 ujinga ni kubanwa haja kubwa halafu ukienda chooni unaishia kujamba!!
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 May 1, 2012 #255 ni ujinga kushabikia man city kisa kamfunga man u
pjowire Member Joined Jul 7, 2011 Posts 7 Reaction score 1 May 1, 2012 #256 Ni ujinga kuwa bahili kwako mwenyewe wakati ukionga kwa vimada/wanawake/pombe.
Mtagwa lindi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 311 Reaction score 96 May 1, 2012 #257 Ni ujinga kuutubia wazee wa dar badala ya walengwa wafanyakazi
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 593 May 1, 2012 #258 UjingA "UJINGA NI KUPULIZIA CHOO PERFUME ETI KINUKIE"
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 1, 2012 #259 Ta Muganyizi said: Ni ujinga kushindwa kutofautisha kupenda na kutamani. Click to expand... ni ujinga kuzungumzia 'kupenda' ukaignore 'kutamani' wakati ni vitu vnavyohusiana
Ta Muganyizi said: Ni ujinga kushindwa kutofautisha kupenda na kutamani. Click to expand... ni ujinga kuzungumzia 'kupenda' ukaignore 'kutamani' wakati ni vitu vnavyohusiana
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 1, 2012 #260 R-ELLY said: ujinga ni kubanwa haja kubwa halafu ukienda chooni unaishia kujamba!! Click to expand... ujinga ni mtu mzima kuwa na mawazo ya kujambajamba
R-ELLY said: ujinga ni kubanwa haja kubwa halafu ukienda chooni unaishia kujamba!! Click to expand... ujinga ni mtu mzima kuwa na mawazo ya kujambajamba