RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

Mkuu salute sana

In God we trust
Asante kwa kuleta thread hii..ombi tu kwa wale ambao wanaweza wakaanza kupinga kumjadili huyu MARTINE SHIGELLA; nafikiri ni utamaduni mzuri wa kuwa tunawachimba vizuri vijana hawa wanaoibuka katika siasa za nchi yetu..hii itatusaidia kuwafahamu walikotoka na walipo..na hivyo kutupatia mwangaza juu ya wapi wanaweza wakaipeleka nchi yetu..tunapaswa kutofanya makosa ya kuwashabikia watu tu bila kujua walikotoka halafu baadae tunaanza kujuta (hapo tayari wakiwa marais,mawaziri n.k)...huyu kijana ni nani hasa?
Niliwahi kuambiwa na mtu fulani kuwa jamaa amepaa tu ghafla akafikia hapo alipo, lakini jamaa ni kati ya 'ma-bogus' vijana ambao huyo mtu alinambia anashangaa wamefikia hapo walipo...
Ninachojua jamaa huyu (Shigella) asili yake ni Shinyanga..anatoka jimbo moja na alikokuwa Mpendazoe-Kishapu, huko kwao wanasema ni kijana wa majivuno sana, na ndio sababu ilikuwa ngumu sana kwa yeye kwenda kugombea ubunge kama rafiki yake January Makamba..hivyo badala yake akamwachia yule Nchambi's, Msukuma-mwarabu anaemiliki mabasi kaadhaa kanda ya ziwa...
Pamoja na hayo, inasemekana pia kwasababu ya kuwa karibu na viongozi wakubwa, Shigella alikuwa akiwahadaa baadhi ya watu kuwa yeye ni usalama wa taifa...
All in all..kama walivyo vijana wengi walio viongozi wa UVCCM, Shigella nae 'haeleweki eleweki-kimaslahi zaidi, suala la 'kwa ajili ya nchi' linatatanisha, ...kwa wanaomfahamu zaidi..who is this boy?!
 
Vitu vingine si vya kukimbilia kupost... Sa una akili kweli we mleta mada

Sent using Jamii Forums mobile app

Itakuwa hujamuelewa vizur Kairuki, sasa subiri tamko kesho kwani hilo swala lishazungumzwa zamani tangu walipowatumbua vidagaa na kusisitiza haya makambare hayaguswi kwani chekechea inawatosha
 
Huyo jamaa kawa RC sasa? Kada maarufu sana wa CCM...

Si alikuwa timu tofauti na Lowassa naila mara kwa mara walikuwa wakitupiana maneno na Khamis Mgeja kule Singida na Shinyanga!!!
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Irrelevant. The usual illogical threads. Bye
 
Itakuwa hujamuelewa vizur Kairuki, sasa subiri tamko kesho kwani hilo swala lishazungumzwa zamani tangu walipowatumbua vidagaa na kusisitiza haya makambare hayaguswi kwani chekechea inawatosha
Hapo kairuki hana uwezo wa kupagusa

In God we trust
 
Si alikuwa timu tofauti na Lowassa naila mara kwa mara walikuwa wakitupiana maneno na Khamis Mgeja kule Singida na Shinyanga!!!
Sasa hapa Lowasa kaingiaje?

In God we trust
 
Si alikuwa timu tofauti na Lowassa naila mara kwa mara walikuwa wakitupiana maneno na Khamis Mgeja kule Singida na Shinyanga!!!

UVCCM wengi ni wachumia tumbo, jamaa alikuwa anatafuta fursa kila kambi ambayo ilikuwa ina nyota...kwa Membe na mwishoni akatosa nadhani akajipendekeza kwa Pombe maana inaonekana amepewa na uRC
 
Kwani anatokea kanda ipi?

In God we trust
 
Back
Top Bottom