RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

Hata na wewe umekosea. Inaitwa Constructors Registration Board. Hivyo na wewe hujui natumizi ya ones (singular) and many (plural). Slip of tongue inamkumba kila MTU nikiwemo Mimi nwenye degree tatu.
Wewe ndiye Bashite kabisaaa hata kuliko huyo RC ..Inaitwa CONTRACTORS REGISTRATION BOARD siyo huo utumbo ulioandika Bashite

In God we trust
 
Ni kweli mkuu. Tena alikuwa ni rafiki mkubwa wa Wilman Kapenjama ambaye nae aliwahi kuwa mkuu wa wilaya katika moja ya mikoa ya kusini. Siku hizi sijui yuko wapi.
Walienda kuudhuria

In God we trust
 
Zamani kiongozi mkubwa aliwatammbulisha wageni kutoka nje akasema:
"Welcome Mr I have not seen (Sijaona) and guest of Europe (wageni kutoka ulaya). here in Morogoro we have hungry (tuna njaa). Before we planted maize and they grow like this (anaonyesha paja) but the sun come and all maize dry and finish fyuuuuu (anapitisha mkono juu ya mdomo ishara mahidi yaliisha yote)
Ccm hoyeeeeee

In God we trust
 
Anayechekwa na anayemcheka wote "genus" ileile tofauti yao ni "species" tu. Eti......ashindwa kutafsiri...." Kwan CRB tafsiri yake ni Contractor registration board??? Kweli?. Unajua maana ya "TAFSIRI/transalate" na neno "kirefu cha/long term).

Acha kubwatuka mkuu.
Naona imekuchoma hadi penyewe

In God we trust
 
mbona kitu cha kawaida hicho....lugha yetu ya taifa ni kiswahili kwa makosa kama hayo sioni kama ni hoja kuyaleta humu

hata wazungu huwa wanakosea kutamka maneno ya kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Tena alikuwa ni rafiki mkubwa wa Wilman Kapenjama ambaye nae aliwahi kuwa mkuu wa wilaya katika moja ya mikoa ya kusini. Siku hizi sijui yuko wapi.

Katika kundi lao alikuwepo Shigela, Kapenjama, Nchimbi junior na Halima. Kapenjama sijui kapotelea wapi.
 
Walewale kina Bashite

In God we trust

Mkuu Mmawia miye ni mkosoaji mkubwa wa sera za chama cha makinikia humu we soma michango yangu utaona. Lakini kwa hili la Shigela mtoa mada kachemka! Jamaa ni msomi mzuri tu na nimesoma naye kozi moja UDSM kwa miaka mitatu na alihitimu sasa unawezaje kusema hajasoma?!! Kukosea kutamka hicho kirefu cha CRB siyo hoja ya kuleta humu tena ni upuuzi kuwashughulisha watu kwa hoja za kipumbavu kama hizi.
 
Mkuu Mmawia miye ni mkosoaji mkubwa wa sera za chama cha makinikia humu we soma michango yangu utaona. Lakini kwa hili la Shigela mtoa mada kachemka! Jamaa ni msomi mzuri tu na nimesoma naye kozi moja UDSM kwa miaka mitatu na alihitimu sasa unawezaje kusema hajasoma?!! Kukosea kutamka hicho kirefu cha CRB siyo hoja ya kuleta humu tena ni upuuzi kuwashughulisha watu kwa hoja za kipumbavu kama hizi.
Nakushukuru kwa kuchangia mada kiongozi

In God we trust
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Ni binadamu kama wewe na mimi.Inawezekana ung'eng'e haupandi.
 
Ndo mada gani unazileta hapa? We hujawahi kukosea? Nyie ndo mnaoamini mtanzania akikosea kiswahili ni kawaida ila akikosea kiingereza hana akili. Acha utumwa wa mawazo.

Huyo mbona hajakosea kiingereza bali hakujua maana ya neno hilo. Ni suala la kutokuelewa si la kukosea kiingereza
 
Huko c kutafsir ni kurefusha, pamoja na hivyo lkn c busara kumsimanga kwa kisa digi kama hilo ikizungatiwa hakuna aliyekamilka ktk wanadam, hata refa kuna baadh ya makosa hus anapeta

et al
 
Watanzania bhana so ww hyo ndo umeona habari?
pumbavu hauna usoni
tafauta ya muhuni kukosea yeyote anakosea hakuna alokamilila acha ujinga kijana yule ni binadamu kama weye hasiyekosea ni muumba tu
 
Back
Top Bottom