RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

Kujua kuandika tu Maana kama Hata kusoma kwao shida...basi ni kujua kuandika tena baba na mama tu
 
Hao KKK ndivyo walivyo Mkuu! Yule mwingine akiongea penye R anaweka L na vice versa. From Kolomije without education to RC.

Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
 
Hatufi lkn cha moto tunakiona

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam Mkuu kwenye nchi yoyote ile iliyo huru ambapo katiba na sheria za nchi zikiamuliwa kudharauliwa ndiyo matokeo hayo ya cha moto kukiona. Sikutegemea hata siku moja kuiona Tanzania yetu inafikia hapa tulipo leo hii. Na huu ni mwanzo tu siku za usoni hali itazidi kuwa mbaya sana kwa watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Ben Saanane huyo mwezi wa tisa sasa haijulikani kama bado yuko hai au alishauawa.

Daaaaaa hii ni balaa lkn lawama zote zimwendee mswhili

In God we trust
 
Alikua amesahau tu kulingana na msingi wa neno alilokosea

mafisadi hayana chama
 
Zamani kiongozi mkubwa aliwatammbulisha wageni kutoka nje akasema:
"Welcome Mr I have not seen (Sijaona) and guest of Europe (wageni kutoka ulaya). here in Morogoro we have hungry (tuna njaa). Before we planted maize and they grow like this (anaonyesha paja) but the sun come and all maize dry and finish fyuuuuu (anapitisha mkono juu ya mdomo ishara mahidi yaliisha yote)
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Anayechekwa na anayemcheka wote "genus" ileile tofauti yao ni "species" tu. Eti......ashindwa kutafsiri...." Kwan CRB tafsiri yake ni Contractor registration board??? Kweli?. Unajua maana ya "TAFSIRI/transalate" na neno "kirefu cha/long term).

Acha kubwatuka mkuu.
 
Ndo mada gani unazileta hapa? We hujawahi kukosea? Nyie ndo mnaoamini mtanzania akikosea kiswahili ni kawaida ila akikosea kiingereza hana akili. Acha utumwa wa mawazo.
Mkuu fanya jaribio hili "siku moja katiza ukiwa utupu shuleni (chekechea au primary) kwa bahati mbaya halafu tuone wanafunzi watafanya nini!!?
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Hata na wewe umekosea. Inaitwa Constructors Registration Board. Hivyo na wewe hujui natumizi ya ones (singular) and many (plural). Slip of tongue inamkumba kila MTU nikiwemo Mimi nwenye degree tatu.
 
Atakuwa ameghafilika tu. Shigela ni msomi mzuri tu. Tumesoma naye political science pale Mlimani.
Ni kweli mkuu. Tena alikuwa ni rafiki mkubwa wa Wilman Kapenjama ambaye nae aliwahi kuwa mkuu wa wilaya katika moja ya mikoa ya kusini. Siku hizi sijui yuko wapi.
 
Wilman kapenjama alikuwa DC Mtwara enzi za JK sijui katupwa wapi school mate wangu,chief wetu Rungwe sec miaka hiyo
 
Hata na wewe umekosea. Inaitwa Constructors Registration Board. Hivyo na wewe hujui natumizi ya ones (singular) and many (plural). Slip of tongue inamkumba kila MTU nikiwemo Mimi nwenye degree tatu.
Hii inafurahisha. Mleta mada yeye kamkosoa RC kwa kuandika kwamba kirefu cha CRB ni "contractor registration board". Wewe umekosoa na kudai ni "Constructors Registration Board". Lakini wapo walio na hakika kwamba hiyo CRB kwa mahali ilipotajwa ni kifupi cha " Contractors Registration Board".
 
Anaitwa Shigela.....kwani umeshaambiwa wao ni KKK hata hapo amejitahidi sana!!!
 
Back
Top Bottom