RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
Hao ndy viongozi wa awamu hii

Ova
 
Miradi ya halmashauri imekuwa kero. Inaongozwa na rushwa kuliko weledi. Wamekula 10% msala anao contractor ambaye hata hajui kujenga bwawa kunahitaji nini. No technical competence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanalofanya ni siasa tu maana huyo mkandarasi alifanya kazi akakabidhi kwa mhandisi wa wilaya husika naye akakagua na kijiridhisha kuwa mradi upo kwenye viwango alafu leo umwambie mkandarasi eti arudishe fedha?

In God we trust
 
Watanzania bhana so ww hyo ndo umeona habari?
pumbavu hauna usoni
tafauta ya muhuni kukosea yeyote anakosea hakuna alokamilila acha ujinga kijana yule ni binadamu kama weye hasiyekosea ni muumba tu
Kumbe unakiri kuwa ndani ya ccm kuna watu wanaweza kukosea?

In God we trust
 
Akikagua miradi ya ujenzi wa mabwawa ya maji mkoani Tanga kiongozi wa mkoa huo ameshindwa kutafsiri kirefu cha CRB na kuiita ni ....construction registration board... [emoji16][emoji16][emoji16] badala ya contractor registration board..mwendo kasiii

In God we trust
hawa waachwe tuu jaman
 
Back
Top Bottom