Chanjo- vaccine
Kuchanja- vaccination
Tangu koloni tunachanja chanjo za magonjwa mbalimbali
nilipo hapa nimechanja - ndui
- Surua
- Pepopinda
kifuaduro
- polio
Sasa corona kuchanjwa kwa nini iwe Nongwa?
Chanjo zote hapo juu zimetoka ughaibuni kwa nini sasa hii ya CORONA iwe ni tabu
Ikija ukitaka kachanje kama hutaki acha