RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

Serikali mkoani Arusha imewataka wananchi na taasisi zinazoendelea kutoa rambirambi kwa familia za wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi la wanafunzi kufuata taratibu zilizowekwa ili kuepusha migongano isiyo ya lazima. Aidha amesema serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga likiwemo la vifo vya wanafunzi na amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kufuata sheria taratibu na maelekezo yanayotolewa na serikali.
rc%2B1.jpg

Chanzo: www.mitandaoni.co.tz
 
Katika majanga ya kitaifa yoyote Duniani, Mfiwa huwa ni Rais wa nchi husika na ndiye hupewa pole. Ndiyo maana Serikali hushughulikia na kusimamia Mazishi na uokoaji na yote ni kwa sababu bila kusimamiwa yanaweza kutokea madhara mengine yatokanayo na mambo kuendeshwa bila utaratibu. Na Serikali kwa maelekezo na taratibu za majanga na uokoaji na kwa kutumia kamati zake za maafa (Kitaifa au Kimkoa) huelekeza utaratibu wa misaada na mazishi. na hapa tukumbushane muwakilishi wa Rais Kimkoa ni Mkuu wa Mkoa. Kwenda kinyume na hilo ni kuruhusu wizi na utapeli, milipuko ya magonjwa yatokanayo kuchafuka kwa mazingira na mikusanyiko ya watu. Lakini pia kiulinzi na usalama, kuzuia machafuko ya hali ya hewa ya kisiasa kwa watu kutumia nafasi hiyo kufanikisha malengo yao. Ambapo hakutakuwa na wa kuulaumiwa zaidi ya serikali iliyoruhusu hayo kutokea.

Ni upotoshwaji kwa lengo la kujijenga kisiasa inapolalamikiwa serikali kutumia pesa zilizotolewa kama rambirambi kwa mazishi ya waliofariki katika janga. Ati kutumia pesa za rambimbi kugharamia mazishi (Usafiri, kupokea wageni, wafiwa na shughuli nzima ya maziko) ni wizi!!! Kama ni kifuta jasho kwa wafiwa kinatokana na alibaki ya kiasi kiasi kilichochangwa na ndiyo maana kuwa wakati kifuta jacho kinatolewa baada ya kupiganiwa na kuidhinishwa na Bunge katika bajeti inayofuata baada ya majanga kutokea sababu hakukuwa na alibaki na ni kitu ambacho hakikutarajiwa.
 
Kinacho takiwa rambirambi iwafikie walengwa ata kama kuna waandishi, walisema wenyewe watagaramika na msiba , wameona pesa za rambirambi wanaanza kuziweka kwenye matumizi ambayo wao wenyewe walisema wata lipia kwa pesa za serekali
Ni vizuri hawa walienda moja kwa moja kwa wafiwa na kuwapa rambirambi bila story za matumizi
Tunawajua sana...kazi yao ni kupitisha makapu ya sadaka...halafu mnapiga robo tatu nyingine ndio mnajidai msaada...Wako wapi waathirika wa mabomu ya soweto?
 
I have told you several times you still have a chance to become a Human being ukiondoa magots na kinye.si kichwani kwako! Hapo Siasa ni ipi? Kualikwa kwa Meya? Walioenda wanazuiwa na Sheria gani kwenda walipoenda na kufanya walichofanya? Kosa Huwa linakuwa defined na Sheria, niambie kosa la hao waliowekwa ndani kwa amri ya mwizi WA RAMBIRAMBI? Moja ya mtu atakaesababisha nirudi Arusha ni huyo zwazwa gambo, naapa, atajuta kuwa Arusha!
Subiri wafikishwe mahakamani kama hawana kosa itajulikana huko...hata uwe wapi ukikiuka taratibu utadakwa na kunyea ndoo...
 
Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
Aisee.!

Ukikua utaacha tu...!!
 
Wewe ndio mvivu wa kufikiria na pia naona ni Bashite,toka lini serikali ikaingilia mambo binafsi ya wananchi tena kama rambirambi kama upuuzi huu

UNASAPOTI KITU AMBACHO SIYO, SIJAWAHI KUONA URATIBU WA.MISIBA WA AUNA.HII
 
Wewe ndio mvivu wa kufikiria na pia naona ni Bashite,toka lini serikali ikaingilia mambo binafsi ya wananchi tena kama rambirambi kama upuuzi huu

UNASAPOTI KITU AMBACHO SIYO, SIJAWAHI KUONA URATIBU WA.MISIBA WA AUNA.HII NAMAANISHA YULE NAESAPOTI UTARATIBU WA LIOFANYIWA HAWA VIONGOZI WA DINI
 
Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
Kuna haja ya kuita waandishi wa habari na kuongozana nao? Kumbe taratibu zipo!
 
hayo ndiyo matokeo ya ulimbukeni wa kisiasa. kiongozi anaacha majukumu muhimu anafuatilia michango ya rambirambi.kwani kuna mfiwa aliyemlalamikia kuwa rambirambi zake zimeliwa?
hawa MEMKWA watatusumbua sana.
Unaacha Majukumu ya Kitaifa unafuatilia wanaofarijiana Msibani hii ni Aibu.!
 
Katika majanga ya kitaifa yoyote Duniani, Mfiwa huwa ni Rais wa nchi husika na ndiye hupewa pole. Ndiyo maana Serikali hushughulikia na kusimamia Mazishi na uokoaji na yote ni kwa sababu bila kusimamiwa yanaweza kutokea madhara mengine yatokanayo na mambo kuendeshwa bila utaratibu. Na Serikali kwa maelekezo na taratibu za majanga na uokoaji na kwa kutumia kamati zake za maafa (Kitaifa au Kimkoa) huelekeza utaratibu wa misaada na mazishi. na hapa tukumbushane muwakilishi wa Rais Kimkoa ni Mkuu wa Mkoa. Kwenda kinyume na hilo ni kuruhusu wizi na utapeli, milipuko ya magonjwa yatokanayo kuchafuka kwa mazingira na mikusanyiko ya watu. Lakini pia kiulinzi na usalama, kuzuia machafuko ya hali ya hewa ya kisiasa kwa watu kutumia nafasi hiyo kufanikisha malengo yao. Ambapo hakutakuwa na wa kuulaumiwa zaidi ya serikali iliyoruhusu hayo kutokea.

Ni upotoshwaji kwa lengo la kujijenga kisiasa inapolalamikiwa serikali kutumia pesa zilizotolewa kama rambirambi kwa mazishi ya waliofariki katika janga. Ati kutumia pesa za rambimbi kugharamia mazishi (Usafiri, kupokea wageni, wafiwa na shughuli nzima ya maziko) ni wizi!!! Kama ni kifuta jasho kwa wafiwa kinatokana na alibaki ya kiasi kiasi kilichochangwa na ndiyo maana kuwa wakati kifuta jacho kinatolewa baada ya kupiganiwa na kuidhinishwa na Bunge katika bajeti inayofuata baada ya majanga kutokea sababu hakukuwa na alibaki na ni kitu ambacho hakikutarajiwa.
Hivi wewe unadhani Watanzania wote ni wajinga? na wanahoji vitu wasivyovijua?
Kuna kitu kinaitwa mfuko wa maafa uko chini ya ofisi ya waziri mkuu. Tumbie mfuko imebadilishiwa matumizi yake toka utawala huu uingie madarakani?
 
Ajabu, yaani siku hizi serikali ndio inaamua rambirambi ziwe zinatolewa kwa utaratibu gani?! Lakini ingekuwa ni Meya wa chama kubwa hata asingekamatwa.
hapa ndio nachoka na kukosa matumaini kama kweli hawa watu wanachochote kwa watanzania. Nadhani hili ni kundi la walevi wanaoropoka chochote kinachowajia vichwani,
 
Hivi wewe unadhani Watanzania wote ni wajinga? na wanahoji vitu wasivyovijua?
Kuna kitu kinaitwa mfuko wa maafa uko chini ya ofisi ya waziri mkuu. Tumbie mfuko imebadilishiwa matumizi yake toka utawala huu uingie madarakani?
Wewe unadhani Mfuko wa Maafa upo Tanzania tu Mataifa mengine hawana. Kama wanao kwanini mataifa na taasisi nyingine huchangia?. Na unadhani tangu tujitawale maafa ni ajali hiyo tu hakuna maafa mengine yaliyotokea nchini na watu wakachangia kama yaliwahi kutokea utaratibu wa matumizi unatofauti gani na wa sasa? Kwa nini Watanzania hatuwatumii wabunge wetu kuhoji matumizi ya mfuko ila tunataka kuzalisha mivutano ya kiuchochezi inayozalishwa na hisi? Bajeti zetu zenyewe za hela ya karanga hiyo bajeti ya maafa ni shilingi ngapi itakayomudu matazamio ya maafa au mnadhani maafa ni ajali hiyo ya Arusha tu? Hata katika msiba wa kawaida, Umewahi kuona mtu anapewa rambi rambi za kufiwa na ndugu halafu anawekewa masharti hizo ni hela za watoto usitumie kugharamia msiba zika kwa hela yako?
 
Back
Top Bottom