Sasa ilikuwa lazima gambo apewe hela za rambirambi ya wamiliki wa shule binafsi wakati tayari amekwisha tangaza atazitumia kujenga wodi, na wenye rambirambi wanataka ziende kwa waathilika moja kwa moja. Na ulishaona serikali gani nyingine duniani inagombana na wananchi kisa rambirambi.Wewe unadhani Mfuko wa Maafa upo Tanzania tu Mataifa mengine hawana. Kama wanao kwanini mataifa na taasisi nyingine huchangia?. Na unadhani tangu tujitawale maafa ni ajali hiyo tu hakuna maafa mengine yaliyotokea nchini na watu wakachangia kama yaliwahi kutokea utaratibu wa matumizi unatofauti gani na wa sasa? Kwa nini Watanzania hatuwatumii wabunge wetu kuhoji matumizi ya mfuko ila tunataka kuzalisha mivutano ya kiuchochezi inayozalishwa na hisi? Bajeti zetu zenyewe za hela ya karanga hiyo bajeti ya maafa ni shilingi ngapi itakayomudu matazamio ya maafa au mnadhani maafa ni ajali hiyo ya Arusha tu? Hata katika msiba wa kawaida, Umewahi kuona mtu anapewa rambi rambi za kufiwa na ndugu halafu anawekewa masharti hizo ni hela za watoto usitumie kugharamia msiba zika kwa hela yako?
Unamaanisha maafa gani? Kwenye maafa yenye michango ndiyo wanajitokeza kwenye maafa ya njaa kimya.Unafahamu kua serikali kuna kitu kinaitwa kamati ya maafa kwa ngazi ya wilaya mkoa na hata taifa??...kwa kukusaidia mwenyekiti wa kamati ya maafa kwa ngazi ya mkoa ni mkuu wa mkoa
Wakienda huko wanahubiri siasa, ila wakifanya wengine ni haramu.Serikali ya wakwapuzi wa rambi rambi ndivyo zilivyo Mkuu! Bila kuziratibu pesa hizo hawawezi kuzikwapua.
Every human being has a right to disobey unjust rules! Wangekuwa na kesi wangeshapelekwa mahakamani, ila kwa sababu amri imetolewa na mtu mwenye kk, sishangai!Subiri wafikishwe mahakamani kama hawana kosa itajulikana huko...hata uwe wapi ukikiuka taratibu utadakwa na kunyea ndoo...
Lengo la wale watu kwenda shule ni kupata wafiwa haswa . Ni shule pekee Ndio inayowajua wazazi wa wale watoto.na pale hawakwenda kuongelea kesi .Issue hasa hapa ninayoina na hilo la kuathiri mwenendo wa kesi!
Si wamepewa dhamana??Every human being has a right to disobey unjust rules! Wangekuwa na kesi wangeshapelekwa mahakamani, ila kwa sababu amri imetolewa na mtu mwenye kk, sishangai!
Soon serikali itaingilia michango itolewayo makanisani na misikitini nyie subirini tu. Utatakiwa uombe kibali cha kutoa michango serikaliniHawa tusione wanapata kibur hivi wanajiandaa kutawala hii inji milele
wakae kimya sababu hii nchi ya kwenu peke yenuBora kayasema tena.
Siasa uchwara za upinzani na wanaoichukia serikali wazidi kujifunza kuheshimu awamu hii au wakae kimya.
Kama ndugu zako waliokufa hawakua wanasiasa au hawakua na title yoyote ktk jamii, wanasiasa wangekujaje ktk misiba yao . . ?nshafiwa na ndugu sana...sikuona wanasiasa...au wanaoleta siasa msibani...na wakifanya hivyo nitawafukuza