RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga | Page 15 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, May 19, 2017.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 756
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Serikali mkoani Arusha imewataka wananchi na taasisi zinazoendelea kutoa rambirambi kwa familia za wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi la wanafunzi kufuata taratibu zilizowekwa ili kuepusha migongano isiyo ya lazima. Aidha amesema serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga likiwemo la vifo vya wanafunzi na amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kufuata sheria taratibu na maelekezo yanayotolewa na serikali.
  [​IMG]

  Chanzo: www.mitandaoni.co.tz
   
 2. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #281
  May 19, 2017
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Si Arusha tu wanafunzi wengine walitokea mikoa mingine,Mbeya Kilimanjaro Kagera nk.
  Kwa hiyo ndiyo inajua ni wapi walipo walengwa.
  Sasa iweje serikali ianze kung'ang'ania rambirambi,tuliyaona yaliyotokea kule Kagera jinsi rambirambi zilivyoichanganya hata serikali yenyewe hadi leo viongozi waandamizi wa mkoa wako mahakamani.
  Wasamaria wema wanaona rambirambi zao zitawafikia walengwa zisipopitia serikalini.
   
 3. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #282
  May 19, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Endelea kupiga porojo acha wanaume wapige kazi
   
 4. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #283
  May 19, 2017
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,734
  Likes Received: 4,540
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. Chenchele

  Chenchele JF-Expert Member

  #284
  May 19, 2017
  Joined: Dec 27, 2016
  Messages: 1,446
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Saiv siwez kutoa rambirambi yoyote hatakama fisi amlalie mbuzi maana ni kulipa kodi ccm in backdoor wakati sina kadi yao...
   
 6. kuwese

  kuwese JF-Expert Member

  #285
  May 19, 2017
  Joined: Nov 16, 2015
  Messages: 813
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 80
  Sijaona rambirambi yenye masharti hata siku moja. Nani analazimishwa kuhani msiba? Endeleeni kuhujumu ccm tu lakini MUNGU anawaona. Mh JPM tunakuomba baba uwe makini na hawa watu wana ajenda ya kukihujumu chama chetu, ccm Arusha ndio inazikwa hivihivi
   
 7. L

  LENDEYSON JF-Expert Member

  #286
  May 19, 2017
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 2,398
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Sikuwahi kudhani Kuna siku Tanzania itakuwa na Viongozi vijana Wapumba.vu kama Gambo! Huyu amezidi kipimo cha Upumba.vu! Bila hata aibu anajiona yupo Juu ya Sheria, anajiona ana jukumu la kuwapangia watu nini cha kufanya na kipi wasifanye, yeye amekuwa Sheria, yaani HOPELESS KABISA! SHAME! ANATUAIBISHA VIJANA!
   
 8. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #287
  May 19, 2017
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,734
  Likes Received: 4,540
  Trophy Points: 280
  hadi ifike 2020, ccm itakua jalala , linalo nuka
   
 9. ECONOMY

  ECONOMY JF-Expert Member

  #288
  May 19, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 442
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Mimi nahisi wazee waendelee kuongoza
   
 10. L

  LENDEYSON JF-Expert Member

  #289
  May 19, 2017
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 2,398
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  I have told you several times you still have a chance to become a Human being ukiondoa magots na kinye.si kichwani kwako! Hapo Siasa ni ipi? Kualikwa kwa Meya? Walioenda wanazuiwa na Sheria gani kwenda walipoenda na kufanya walichofanya? Kosa Huwa linakuwa defined na Sheria, niambie kosa la hao waliowekwa ndani kwa amri ya mwizi WA RAMBIRAMBI? Moja ya mtu atakaesababisha nirudi Arusha ni huyo zwazwa gambo, naapa, atajuta kuwa Arusha!
   
 11. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #290
  May 19, 2017
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,326
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Ajabu, yaani siku hizi serikali ndio inaamua rambirambi ziwe zinatolewa kwa utaratibu gani?! Lakini ingekuwa ni Meya wa chama kubwa hata asingekamatwa.
   
 12. Music jnr

  Music jnr Member

  #291
  May 19, 2017
  Joined: Feb 10, 2017
  Messages: 41
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 25
  Pumba
   
 13. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #292
  May 19, 2017
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,326
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Huu uongozi wa ngazi za juu namna hii kuwapa vijana ni kuleta shida tu. Wengi hawajakomaa kiuongozi kiasi cha kuwa na busara za kutosha. Kuna mambo mengine yanahitaji busara na wala si maguvu. Ninafikiri vijana wabaki na uongozi ndani ya idara zao zilizo katika vyama vyao. Hizo zitasaidia kuwakomaza kabla ya kuwaamini na kuwapa uongozi wa kitaifa kama huu.
   
 14. g

  gpastory JF-Expert Member

  #293
  May 19, 2017
  Joined: Nov 11, 2016
  Messages: 337
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  Yenyewe haitoi inabunya tu!
   
 15. nkulikwa

  nkulikwa JF-Expert Member

  #294
  May 19, 2017
  Joined: Jul 21, 2015
  Messages: 723
  Likes Received: 793
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo katika kutoa rambirambi siasa inaingiaje watanzania! Au ni kwamba wananchi wakitoa fedha itaonekana kama serikali haijali au ni kwamba wananchi wakitoa na serikali ikatoa itaonekana imejali! Hata kama makosa tafuteni mengine! Lakini pia Kwanini wengine waliaachiwa kama wote wanakwenda pamoja yaani Kwanini viongozi wa Dini Hawako ndani? Kujenga umoja ni kazi sana lakini kubomoa ni rahisi! Washambikia hili tunaweza kutoa rambirambi zao pia! Fanyeni rambirambi iwe na kodi pia!
   
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #295
  May 19, 2017
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,489
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Nimeshangaa mpaka nimeshindwa kushangaa.

  Majanga ya awamu ya 5 haya....mwingine anasema angekuwa ana uwezo angewapiga wafanyakazi...oh Mungu wangu! !
   
 17. nkulikwa

  nkulikwa JF-Expert Member

  #296
  May 19, 2017
  Joined: Jul 21, 2015
  Messages: 723
  Likes Received: 793
  Trophy Points: 180
  Mbona misiba mengine wanatoa wananchi wenyewe! Lakini Kwanini hakuwakamata wote kama ndiyo ukweli au ni kulipa visa kwa kutumia madaraka!
   
 18. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #297
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,148
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Kwani alikuwa jukwaa kuu au una mimba yake?
   
 19. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #298
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,148
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Lumumba sikanyagi
   
 20. SHAMMA

  SHAMMA JF-Expert Member

  #299
  May 19, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 25,836
  Likes Received: 75,383
  Trophy Points: 280
  Nyerere alisema ukila nyama ya mtu hutaacha kula, kumbe ukila rambirambi pia hutaacha?
   
 21. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #300
  May 19, 2017
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,687
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  ,Kwani government imedanja
   
Tags:
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...