RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga | Page 14 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, May 19, 2017.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Serikali mkoani Arusha imewataka wananchi na taasisi zinazoendelea kutoa rambirambi kwa familia za wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi la wanafunzi kufuata taratibu zilizowekwa ili kuepusha migongano isiyo ya lazima. Aidha amesema serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga likiwemo la vifo vya wanafunzi na amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kufuata sheria taratibu na maelekezo yanayotolewa na serikali.
  [​IMG]

  Chanzo: www.mitandaoni.co.tz
   
 2. amina ngalo

  amina ngalo JF-Expert Member

  #261
  May 19, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 311
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Gambo kazi mzuri sana
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #262
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,546
  Likes Received: 13,761
  Trophy Points: 280
  niliona mvaa gwanda anayetamani mic
   
 4. kidaganda

  kidaganda JF-Expert Member

  #263
  May 19, 2017
  Joined: Aug 26, 2013
  Messages: 2,765
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Soon wataanza kuratibu na watu wa kulia kwenye misiba.
   
 5. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #264
  May 19, 2017
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,313
  Likes Received: 2,979
  Trophy Points: 280
  Itatolewa kimya kimya
   
 6. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #265
  May 19, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,939
  Likes Received: 29,324
  Trophy Points: 280
  Lengo la Gambo ni kuiba rambirambi , wala si kumsaidia mtu .
   
 7. s

  spensa_e JF-Expert Member

  #266
  May 19, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 80
  Kinacho takiwa rambirambi iwafikie walengwa ata kama kuna waandishi, walisema wenyewe watagaramika na msiba , wameona pesa za rambirambi wanaanza kuziweka kwenye matumizi ambayo wao wenyewe walisema wata lipia kwa pesa za serekali
  Ni vizuri hawa walienda moja kwa moja kwa wafiwa na kuwapa rambirambi bila story za matumizi
   
 8. Terrible Teens

  Terrible Teens Member

  #267
  May 19, 2017
  Joined: May 6, 2017
  Messages: 48
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 25
  Mr. Rambirambi
   
 9. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #268
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,105
  Likes Received: 2,329
  Trophy Points: 280
  Heshima haishibikizwi
   
 10. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #269
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,105
  Likes Received: 2,329
  Trophy Points: 280
  Walipata nini waliopatwa na majanga?
   
 11. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #270
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,105
  Likes Received: 2,329
  Trophy Points: 280
  Tupo wote Arusha Mange ndiyo nini?
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #271
  May 19, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 165,570
  Likes Received: 459,455
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwadhibiti unawafyagilia 2020
   
 13. MAGALEMWA

  MAGALEMWA JF-Expert Member

  #272
  May 19, 2017
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 4,105
  Likes Received: 2,329
  Trophy Points: 280
  Lete picha. Sare za CCM zipo kila mahali kwenye shughuli ile
   
 14. Al-Watan

  Al-Watan JF-Expert Member

  #273
  May 19, 2017
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,981
  Likes Received: 14,082
  Trophy Points: 280
  Orwellian orangutans obfuscating openly oppressive operations.
   
 15. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #274
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,546
  Likes Received: 13,761
  Trophy Points: 280
  wanafiki waakubwa..unaenda mojakwamoja ilihali ahadi za rambirambi ulizoahidi hujatimiza?
   
 16. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #275
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,546
  Likes Received: 13,761
  Trophy Points: 280
  hukumuona lema??
   
 17. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #276
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22,546
  Likes Received: 13,761
  Trophy Points: 280
  Tutakuwa wote Dar pia!
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #277
  May 19, 2017
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 5,005
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Ninacholaani ni serikali kuwaogopa wapinzani kupita kiasi na kuhisi kila wanachokifanya ni kutaka kuwafunga magoli
   
 19. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #278
  May 19, 2017
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,731
  Likes Received: 4,504
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Makaburi (CCM) ,
   
 20. s

  spensa_e JF-Expert Member

  #279
  May 19, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 80
  Acha ubashite , wakienda moja kwa moja kupeleka rambirambi zao shida ipo wapi , mbona kuna watu huwa wanapeleka misaada kwa yatima moja kwa moja na wanapiga ma picha kwa mm sioni tatizo as long pesa zimefika kwa mlengwa bila story za matumizi uwezi enda kutoa rambirambi alafu unafika unafika unamwambia unae mpa nimekata nauli, chakula changu njiani na posho yangu huo utakuwa ubashite
   
 21. nessonlegend

  nessonlegend JF-Expert Member

  #280
  May 19, 2017
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 836
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 180
  I'm not comfortable in this country.
   
Tags:
Loading...