RC Makonda yupo wapi?

Anaonekana kwenye mitandao akiwa Marekani. Nimeshangazwa sana na tabia yake ya immaturity. Hivi Mkuu wa mkoa (by virtue of that position) unatuma picha facebook kuwaonyesha watu uko ughaibuni? That is 13th century style and thinking....
nami nilikuwa nashangaa tena picha yenyewe imefanyiwa shopping in advance, sare sare maua
 
unafahamu utaratibu mzima wa likizo ? au bola kuandika tu
 
Amepewa refers kwa ma bingwa kupandikiza watoto US maana mwaka 8 sasa bila bila! Usione anaropoka ana stress za mtoto! Anaona noma kwa familia yake na wakweze
Siamini kama haya ni ya kweli! Kama ni kweli basi sitashangaa kupigwa kibao mzee wetu pale Ubungo plaza!
Na je, ni kweli yuko US au ni maneno ya kibongo bongo.
 
Kuna mtu alikuwa anasimanga wakurugenzi wa mashirika ya umma kwenda dubai na familia zao, ila "mwanae mpendwa" kaenda USA sisikii chochote! Mishahara ya wakurugenzi vs ya mkuu wa mkoa ni nani anaweza kutuhumiwa kwa ufisadi kwa kwenda holiday nje ya nchi?
 
Yupo USA ameenda kutafuta wafadhili si unajua tena nchi yetu imekumbwa na janga la njaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…