RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

CHANZO: EATV
Huu ni ukweli usiopingika watumishi wa serikali wamejisahau Ila adhabu ya kutimuliwa kazi Mungu anakuona mh. Makonda.
 
Au anataka kupunguza watumishi wa ofisi yake? watu wanatafuta namna ya kuongoeza ajira yeye anatafuta namna ya kupunguza ajira. kazi kweli
 
Dar es salaam ni mkoa mmoja ila una viongoz wengi wa ngazi tofauti za kiutawala mf DED,RC,RAS,MAYOR,MP's nk..vipi kama ikakubaliwa kuwa baadhi ya vyeo vya kisiasa vikaondoshwa alaf katika wanaondoahwa na cheo cha ukuu wa mkoa kikaondoshwa,je mtoa ushauri atajisikiaje!,

katika maisha wawe wanafikilia na wenzao sio wanajifikilia wao tuu!machungu utakayoyapata katika kuondoshwa inakuaje uombe mwenzako ayapate wakat ww mwenyewe unakesha ukiomba yasikukute!

nukuu"ukiona mfanyakaz anachukia uwepo wa wafanyakaz wenzake kwa kigezo eti ofisi ina wafanyakaz wengi hiyo ni ishara ya roho mbaya na ubinafsi"
Huyu kijana hata cheo cha mkuu wa mkoa kikifutwa ameshaonekana ni hazina ya taifa hatakosa sehemu ya kufiti na kufanya kazi vizuri.
 
Awasiliane na Magu walifanyie kazi mana serikalo hii imekua kiwanda cha kutengeneza watu wasio na ajira.Hamjatosheka kwa mlioacha kuajiri mnataka mpunguze na walioajiriwa.Hatujui nia ya serikali hii ila inaonekana si nzuri
 
"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

CHANZO: EATV
Inawezekana Mh.Mkuu wa mkoa ana nia njema,lakini watumishi anaoongelea ni wa mkoa wake tu au watumishi wa mikoa yote?Nilidhani mtu sahihi wa kwenye hili ni waziri mwenye dhamana kwa kuwa yuko karibu nalo na ana uwezo wa kulitafiti kwa usahihi.
 
Aache unafk wake .anaringa kwa vile yeye ana kazi eh....hivi anajua jinsi watu walivyo na hali ngum kimaisha kwel? Kama anamaanisha anachokizungumza yeye aache hyo kaz ya mkuu wa mkoa
 
Wapunguzwe ma RC, mf. RC wa Morogoro, awe ndio RC wa Morogoro, DSM na Pwani. Ofisi ikae Kibaha au CHALINZE
 
A
"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

CHANZO: EATV
Angeacha kwanza yeye maana tangu ateuliwe amekuwa mpiga domo kwenye media na mwingi wa majungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom