RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

Job description wanazopewa zinapimika na zimekaa vizuri?

Kuna wafanyakazi wa kutosha kiasi kwamba mtu hachoki kufanya kazi na kupelekea UTENDAJI na UFANISI wake kushuka?

Kila mkuu wa taasisi ya Serikali anajua vyema malengo,Vision na mission ya taasisi anayoiongoza na ana team nzuri ya uongozi ya kufikia malengo hayo.

Je,taasisi zina wafanyakazi bora,wanaopata stahili zao kwa wakati na wenye elimu,weledi na spirit ya kazi katika mazingira ya kujisimamia pasipo pressure ya uongozi na wenye ubunifu?

Taasisi binafsi huwa wanafanya recruitment kwa wafanyakazi wapya katika taasisi au serikalini,je kabla ya kupewa majukumu hayo yanafanyika kwa ufanisi.

Tusilaumu,watu wengi wameajiriwa hovyo hovyo tu kwasababu za ukabila,ukanda,dini na jinsia bila kuzingatia taaluma,weledi na uzalendo wa kazi.
 
siasa ni nzuri kwa sababu maisha yote ni siasa..lakin mtu akilewa siasa na kukosa spidi gavana ya uropokaji,haya ndio matunda yake..kuna uhitaji sana wa kuidai katiba iliyopendekezwa wananchi,maana ikija haya yote hayatakuwepo!!
 
Kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.HIVI MKUU WA MKOA WA MORO YULE DR. BAADA YA RAIS KUTENGEUA UKUU WAKE ALISEMAJE VILE?
 
Job description wanazopewa zinapimika na zimekaa vizuri?

Kuna wafanyakazi wa kutosha kiasi kwamba mtu hachoki kufanya kazi na kupelekea UTENDAJI na UFANISI wake kushuka?

Kila mkuu wa taasisi ya Serikali anajua vyema malengo,Vision na mission ya taasisi anayoiongoza na ana team nzuri ya uongozi ya kufikia malengo hayo.

Je,taasisi zina wafanyakazi bora,wanaopata stahili zao kwa wakati na wenye elimu,weledi na spirit ya kazi katika mazingira ya kujisimamia pasipo pressure ya uongozi na wenye ubunifu?

Taasisi binafsi huwa wanafanya recruitment kwa wafanyakazi wapya katika taasisi au serikalini,je kabla ya kupewa majukumu hayo yanafanyika kwa ufanisi.

Tusilaumu,watu wengi wameajiriwa hovyo hovyo tu kwasababu za ukabila,ukanda,dini na jinsia bila kuzingatia taaluma,weledi na uzalendo wa kazi.
Swali lililoulizwa ni moja tu. Wapelekwe wapi?....
 
HUYU, JAMAA akiendelea hivi namuona akiwa kiongozi bora, hivi tuache unafiki nani hasiyejua ili mpaka jamaa kalisema tunampiga madongo?
Mkuu, wewe kiongozi bora ni wa kusema tu mambo bila kuchukua hatua?
Kwani ofisini kwake hakuna watumishi wa serikali? au hapo ofisini kwake hakuna anaowasema wanakalia umbea bila kufanyakazi zao kikamilifu? Hata wewe unakasoro ya kuchambua kauli zinazotolewa na viongozi wetu. Siamini kama ulichokiandika ulimaanisha. Na kama ulimaanisha basi taifa letu bado tuna njia ndefu ya kwenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom