RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

Wakuu wa mikoa, na wilaya nadhani niwakupunguza maana kazi zao hazipo ndiyo maana nikutoa matamko yasiyo kuwa na mbele wala nyuma ,atoe mfano katka nafasi yake ambayo hata asingekuwepo manispaa za dar zigejiendesha vizuri tu
 
Dar es salaam ni mkoa mmoja ila una viongoz wengi wa ngazi tofauti za kiutawala mf DED,RC,RAS,MAYOR,MP's nk..vipi kama ikakubaliwa kuwa baadhi ya vyeo vya kisiasa vikaondoshwa alaf katika wanaondoahwa na cheo cha ukuu wa mkoa kikaondoshwa,je mtoa ushauri atajisikiaje!,

katika maisha wawe wanafikilia na wenzao sio wanajifikilia wao tuu!machungu utakayoyapata katika kuondoshwa inakuaje uombe mwenzako ayapate wakat ww mwenyewe unakesha ukiomba yasikukute!

nukuu"ukiona mfanyakaz anachukia uwepo wa wafanyakaz wenzake kwa kigezo eti ofisi ina wafanyakaz wengi hiyo ni ishara ya roho mbaya na ubinafsi"
 
Makonda ni mpuuzi kweli...

Hebu mwenye kufahamu jina jina lake alilopewa na wazazi huyu jamaa maana hili la Paul Makonda ni jina la wizi.. Alipora kwa mtu aliefaulu...
Kuna story yake huyu ya wizi wa hili jina Paul Makonda..
Mwenye nayo atuwekee hapa pls.
 
No research no right to Speak!!! Huu utafiti nani alimsaidia hivi anajua athari za haya matamko kwa tija ya utumishi wa umma hivi waziri anayehusika hawezi kumkemea??? Hawa watumishi katika hali ngumu sana ndiyo tumeifikisha nchi hapa ilipo aache kejeli dharau kebehi na kujiona yeye ndiye mfanyakazi bora kuliko wengine wote
 
"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

CHANZO: EATV
Wazo zuri sana
 
"Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi serikalini maana wako wengi sana lakini asilimia 20 pekee ndiyo wanafanya kazi, na asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu" - Hilo ni wazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

CHANZO: EATV

Pia kuna haja ya kufuta vyeo vya Ukuu wa mkoa na kuwaacha Wakurugenzi tu wafanye kazi
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom