William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda.
Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku.
Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
Le Mutuz Superbrand