RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Alisha yaeleza yote kwenye insta yake, akapata comment za aandike kitabu ndo nae akaandika.

Mkuu kuna kitu kinaitwa "Autobiography", hivi ndo mtu anaweza kuulizwa kuhusu hizo mambo binafsi.

Yeye kaandika kitabu kuzungumzia experience yake kule, ambayo inaweza kujumlisha vitu vilivyowatokea watu aliokuwa nao around, mfumo mzima wa mazingira yaliyokuwa yanamzunguka etc.

Siyo necessary account ya maisha yake.
 
Mtu asiye kuwa na elimu kuzindua kitambu kilichoandikwa na mwenye elimu. Only, in Tanzania...

Kwa nini usitafute wasomi tu hapa nchini people like Mfuruki, Mengi, et all

- Kwa mtu mwenye elimu kuandika "KITAMBU" badala ya kitabu inaleta mashaka sana
kama kweli ana elimu ya kweli only in Tanzania!

le Mutuz Superbrand
 
39685795_1030781437104254_5904349622653943808_n.jpg


- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua bahari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.

- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.

le Mutuz Superbrand
Kitabu kimekua bahari ya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi uzoefu wake wa marekan unauhusiano wa moja kwa moja na maisha yake binafsi?

Mfano akisema kwa uzoefu wake kupata green card kwa lottery ni bingo zaidi kwa mtu mweusi. Kwan nimeona wengi wana abcde baada ya kupata. (Huu ni uzoefu)

Ni sawa na akisema ndoa yangu ilivunjika kwasabb nilikuwa nakoroma?(personal life)
Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone
 
Hivi uzoefu wake wa marekan unauhusiano wa moja kwa moja na maisha yake binafsi?

Mfano akisema kwa uzoefu wake kupata green card kwa lottery ni bingo zaidi kwa mtu mweusi. Kwan nimeona wengi wana abcde baada ya kupata. (Huu ni uzoefu)

Ni sawa na akisema ndoa yangu ilivunjika kwasabb nilikuwa nakoroma?(personal life)
Yani kukoroma kuvunje ndoa *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom