RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Not talking about his title.

But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.

Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau

Tatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.

Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?
 
Mwl wangu wa filosofia prof IShumi aliwah kutufundisha hivi "maandish yeyote yaliyoandikwa kwenye karatasi yafaa kwa kujifunzia" na mafunzo yake yaweza kuwa ni hasi ama chanya. Na hata uwe na akili kiasi gani Bado maandish yako kwenye kitabu yatapingwa tuu na hata wale wasio soma Bado wanaweza kuyapinga tuu. Sababu kubwa ni hakuna mtu mwenye akili ya utimilifu kwamba akiandika basi amekamilika na amemaliza yote kwa umuhimu kwenye maandish yake.
 
Yy anaongelea uzoefu wake wa kuish marekani. Na wala hajizungumzii yy maisha yake halisi.

Ama mm ndio sijamuelewa?
 
Mwl wangu wa filosofia prof IShumi aliwah kutufundisha hivi "maandish yeyote yaliyoandikwa kwenye karatasi yafaa kwa kujifunzia" na mafunzo yake yaweza kuwa ni hasi ama chanya. Na hata uwe na akili kiasi gani Bado maandish yako kwenye kitabu yatapingwa tuu na hata wale wasio soma Bado wanaweza kuyapinga tuu. Sababu kubwa ni hakuna mtu mwenye akili ya utimilifu kwamba akiandika basi amekamilika na amemaliza yote kwa umuhimu kwenye maandish yake.

Watanzania hatuna culture ya kusoma, wasomaji wa vitabu hawawezi ku-criticise kitabu kabla ya kukisoma.

Hao wanaoponda waulize toka mwaka uanze wamesoma vitabu vingapi?

Wamejifunza nini kwenye usomaji?

Mimi nitamuunga mkono Le Mutuz kukisoma kitabu chake, ninaamini kitakuwa na madini.
 
Bure sikitaki ,Amekimbia mke na watoto USA kisa majukumu akueka upupu huo kwenye kitabu.
Hivi uzoefu wake wa marekan unauhusiano wa moja kwa moja na maisha yake binafsi?

Mfano akisema kwa uzoefu wake kupata green card kwa lottery ni bingo zaidi kwa mtu mweusi. Kwan nimeona wengi wana abcde baada ya kupata. (Huu ni uzoefu)

Ni sawa na akisema ndoa yangu ilivunjika kwasabb nilikuwa nakoroma?(personal life)
 
Back
Top Bottom