Tetesi: RC Makonda awagomea Clouds leo

Si walipatanishwa wawili hawa na magufuli ? Kwani ruge hakujua bashite na bwana wake ni mchatu hayo ? Sasa asubiri kumezwa tu muda umekaribia.
 
Sasa kama alikuwa bizi na majukumu mengine ulitaka hayaache ili aongee nao tu!!!..

Siku ingine watampa taarifa mapema kwa kupanga na msaidizi wake kwanza.. yeye ni Mkuu wa Mkoa

Makonda oyeeeeee
 
na leo sebo wa efm anakuambia kutakua na shoo ya wanavyuo tarehe25 kiingilio ni kitambulisho chako mamaeee siku iyoiyo ndio kuna fiesta
 
Clouds mkome.kwa.kujipendekeza kwa.Huyo.msela wenu mavi.
Hivi bandugu, humu jf tumeingiwa na jini gani anayetupandisha mori wa kisirani kushindwa kustahimiliana na kuvumiliana hadi kupelekea tuhusudu sana lugha za matusi?
Jf ya zamani mbona mambo haya hayakuwepo? Khaa!
 
*Hivi ni nani alileta Make Up?*

*Maana ndiyo aliyeleta mabint matapeli huku nchini*

*Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA*
 
Nasikia tarehe 25 November kwenye kilele cha fiesta bashite ameendaa tamasha kubwa la wanafunzi wa Chuo usiku kwa kushirikiana na EFM tarehe hiyo hiyo.
Nimeelewa leo kwa nini Ruge alitinga studio na hadithi yake ya ngadu/kaa.
 
Back
Top Bottom