DC Mjema amjibu RC Paul Makonda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
1.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema pamoja na afisa utamaduni wa Wilaya Cloude Mpelembwa wameeleza kuwa hawajakataza watu wasifanye ibada katikati ya wiki.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo, baada ya mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kutengua kauli ya awali ya mkuu wa wilaya ya Ilala ya kuwataka wananchi kuto fanya ibada katikati ya wiki.

Mjema amesema kwamba watu wamemtafasiri vibaya kuwa amekataza ibada ila amepinga wale wanao anzisha makanisa yasiyo rasmi.

“Wale ambao wamejenga tu turubai na wameweka maspika hao lazima watuambie wamesha sajiliwa na nimemuagiza afisa utamaduni aende akawaangalie kama wamesajiliwa,” amesema Mjema.

“Nataka niliweke sawa kabisa mimi ni muumini mzuri wa kumuamini Mungu siwezi kuzuia watu wasiende kuabudu tumesema kuna watu wanaanzisha makanisa yasiyo stahili na ukiingia ndani ya makanisa hayo unakuta watu wa tano au sita wanao sali jumatatu hadi jumatatu. Kazi wanafanya lini,” amesema Mjema.

Naye afisa utamaduni wa manispaa hiyo Mpelembwa, amesema mkuu wa wilaya hakuwa na kosa lolote bali alitoa ushauri kuwa matumizi ya vyombo vya mziki visiwe kero kwa wananchi wengine na waumini wanatakiwa wafanye kazi za kujiletea kipato.

“Siku za ibada za msingi kabisa ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, lakini Jumatatu mpaka Ijumaa watu wanaruhusiwa kufanya ibada katika maeneo ya ibada na ushauri ulitolewa kwamba wazingatie katika matumizi ya vyombo vya muziki," amesema Mpelembwa.

-Mpekuzi-
 
aache unafki na atakufa mdomo wazi.
Yeye akubali tu baada ya ndoa yake kuyumba kaamua kuchukia Mungu na anaamini mambo yake ajuayo, na amekuwa akipokea wageni toka sijajua mkoa gani ila huwa wanakuja na MAJINJA bus.

sasa hapo anaposema makanisa yasiyo rasmi, hao wafundishwe kuyasajili ili waingize pesa kupitia hizo ada
 
Watu kushinda kanisani yeye inamuhusu vipi? Hajui kama hayo makanisa ni ofisi vile vile.Watu wamekwenda makazini ikifika jumapili wanaleta sadaka kwa hao watu wanaoshinda kanisani.Mkuu wa wilaya acha wivu watu wapo kazini hapo.
 
Uzuri wa zama hizi sa sasa unapoongea usirekodiwe ila ukirekodiwa tu basi bora uwe mpole na ujisahihishe. Aliposema siku za kusali ni tatu tu Ijumaa, Jumamosi na Jumapili alikuwa anamaanisha nn?

Bado anaendelea kujikanganya na atafeli, hivi anafahamu makanisa huwa yanaanzaje? Au anadhani hayo makanisa yenye majengo makubwa anayoyaona sasa ndivyo yalivyoanza?

Katika hili alikurupuka, alichotakiwa kufanya ni kusimamia sheria zilizopo, kwa mfano issue ya makelele NEMC wameshatoa maelekezo kuwa haitakiwi kuzido decible 40, yeye na wataalamu wake wasimamie hilo na sheria nyingine, katika yale ambayo hayaelewi vizuri au sheria iko kimya awaite wadau wazungumze wayajenge nchi hii ni yetu sote asisahau kuwa kuna siku atatoka kwenye hicho kiti alichokalia halafu akajikuta yuko kwa Mwamposa akiombewa.
 
"Tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni, mengine yote mtapewa kwa ziada"

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema pamoja na afisa utamaduni wa Wilaya Cloude Mpelembwa wameeleza kuwa hawajakataza watu wasifanye ibada katikati ya wiki.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo, baada ya mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kutengua kauli ya awali ya mkuu wa wilaya ya Ilala ya kuwataka wananchi kuto fanya ibada katikati ya wiki.

Mjema amesema kwamba watu wamemtafasiri vibaya kuwa amekataza ibada ila amepinga wale wanao anzisha makanisa yasiyo rasmi.

“Wale ambao wamejenga tu turubai na wameweka maspika hao lazima watuambie wamesha sajiliwa na nimemuagiza afisa utamaduni aende akawaangalie kama wamesajiliwa,” amesema Mjema.

“Nataka niliweke sawa kabisa mimi ni muumini mzuri wa kumuamini Mungu siwezi kuzuia watu wasiende kuabudu tumesema kuna watu wanaanzisha makanisa yasiyo stahili na ukiingia ndani ya makanisa hayo unakuta watu wa tano au sita wanao sali jumatatu hadi jumatatu. Kazi wanafanya lini,” amesema Mjema.

Naye afisa utamaduni wa manispaa hiyo Mpelembwa, amesema mkuu wa wilaya hakuwa na kosa lolote bali alitoa ushauri kuwa matumizi ya vyombo vya mziki visiwe kero kwa wananchi wengine na waumini wanatakiwa wafanye kazi za kujiletea kipato.

“Siku za ibada za msingi kabisa ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, lakini Jumatatu mpaka Ijumaa watu wanaruhusiwa kufanya ibada katika maeneo ya ibada na ushauri ulitolewa kwamba wazingatie katika matumizi ya vyombo vya muziki," amesema Mpelembwa.

-Mpekuzi-
 
Bashite alikurupuka tu ili kutafuta sifa
DC alisema siku za kusali ni tatu tu, haya waislamu wanasali mara tano kwa siku kwa mujibu wa imani yao, sasa hili alitaka kuzuia, kati yake na RC nani alikurupuka?
 
Si wakae tu hapo bomani wayamalize!
 
Waislamu wanaswali siyo kusali hili katazo haliwahusu!
 
"Tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni, mengine yote mtapewa kwa ziada"
Hata kufanya kazi na kuacha kuombaomba au kutapeli ni kuutukuza ufalme wa Mwenyezi Mungu.
Israel kinachowafanya waonekane wamebarikiwa ni kuheshimu agano lao na Mwenyezi Mungu na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka.
Sisi kina yakhe tunaolala makanisani au kuhubiri ili tupate sadaka itakula kwetu
 
aache unafki na atakufa mdomo wazi.
Yeye akubali tu baada ya ndoa yake kuyumba kaamua kuchukia Mungu na anaamini mambo yake ajuayo, na amekuwa akipokea wageni toka sijajua mkoa gani ila huwa wanakuja na MAJINJA bus.

Mjema amesema kwamba watu wamemtafasiri vibaya kuwa amekataza ibada ila amepinga wale wanao anzisha makanisa yasiyo rasmi.

sasa hapo anaposema makanisa yasiyo rasmi, hao wafundishwe kuyasajili ili waingize pesa kupitia hizo ada
Aisee!! Itakuwa ile majinja ya kutoka sumbawanga,maana mojawapo ya route zake
 
aache unafki na atakufa mdomo wazi.
Yeye akubali tu baada ya ndoa yake kuyumba kaamua kuchukia Mungu na anaamini mambo yake ajuayo, na amekuwa akipokea wageni toka sijajua mkoa gani ila huwa wanakuja na MAJINJA bus.

Mjema amesema kwamba watu wamemtafasiri vibaya kuwa amekataza ibada ila amepinga wale wanao anzisha makanisa yasiyo rasmi.

sasa hapo anaposema makanisa yasiyo rasmi, hao wafundishwe kuyasajili ili waingize pesa kupitia hizo ada
Mbona kama una shida nae binafsi masuala ya ndoa yake yanaingiaje kwenye hii mada ??
 
Si wakae tu hapo bomani wayamalize!
Sophia Mjema anashindana na bosi wake Kuna mmoja hapo ili utendaji uende vizuri inabidi afungishwe virago.Hasa huyo mkuu wa wilaya.Kazi ya mkuu wa wilaya Sio kuanzisha bifu na wananchi.Tunaekekea uchaguzi wa serikali za mitaa tunahitaji kura za watu wote na kunahitajika utivu wa kisiasa Sio commotion za kisiasa ambazo zinaanzishwa na mkuu wa wilaya.Rais Magufuli ondoa Sophia Mjema anapenda kuanzisha ugomvi na wananchi usiio na kichwa Wala miguu.Kaanzisha wa kupangia saa watu za kusali watu wakamlipukia na mkuu wa mkoa kamlipukia Bado tu anataka ugomvi na mkuu wa mkoa na wananchi.

Raisi Magufuli Sophia Mjema Hatumtaki wananchi Dar es salaam muondoe .Dar es salaam Ni jiji la amani .Haven of Peace .Sophia Mjema haliwezi.Mgomvi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema pamoja na afisa utamaduni wa Wilaya Cloude Mpelembwa wameeleza kuwa hawajakataza watu wasifanye ibada katikati ya wiki.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo, baada ya mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kutengua kauli ya awali ya mkuu wa wilaya ya Ilala ya kuwataka wananchi kuto fanya ibada katikati ya wiki.

Mjema amesema kwamba watu wamemtafasiri vibaya kuwa amekataza ibada ila amepinga wale wanao anzisha makanisa yasiyo rasmi.

“Wale ambao wamejenga tu turubai na wameweka maspika hao lazima watuambie wamesha sajiliwa na nimemuagiza afisa utamaduni aende akawaangalie kama wamesajiliwa,” amesema Mjema.

“Nataka niliweke sawa kabisa mimi ni muumini mzuri wa kumuamini Mungu siwezi kuzuia watu wasiende kuabudu tumesema kuna watu wanaanzisha makanisa yasiyo stahili na ukiingia ndani ya makanisa hayo unakuta watu wa tano au sita wanao sali jumatatu hadi jumatatu. Kazi wanafanya lini,” amesema Mjema.

Naye afisa utamaduni wa manispaa hiyo Mpelembwa, amesema mkuu wa wilaya hakuwa na kosa lolote bali alitoa ushauri kuwa matumizi ya vyombo vya mziki visiwe kero kwa wananchi wengine na waumini wanatakiwa wafanye kazi za kujiletea kipato.

“Siku za ibada za msingi kabisa ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, lakini Jumatatu mpaka Ijumaa watu wanaruhusiwa kufanya ibada katika maeneo ya ibada na ushauri ulitolewa kwamba wazingatie katika matumizi ya vyombo vya muziki," amesema Mpelembwa.

-Mpekuzi-
Amejikanyaga tu,wala hajaeleweka.Ibada zitaendelea kama kawaida,bora tusivunje amri halali ya serikali.Namuelewa kwenye vyombo,ni kweli makanisa na hasa misikiti imekuwa kero sana.Sauti inakuwa kubwa sana.Adhana nazo zina kera sana,mtu unatafuta kausingizi kako ka asubuhi,unasikia alahu akibaru!Ibada hailazimishwi,ni mambo ya rohoni.w
 
Ana ndimi mbili.mbili alibwata Mara ya kwanza kupangia watu masaa ya kusali akaona muziki wake mkali hauwezi.Sasa kahamia kwa Walokole akidhani hao ndio wanyonge wake wa kumalizia ujinga wake.Kaona waislamu wamtangazia takbiriii kanywea .Hongereni waislamu kukashikisha adabu hako kamwanamke ka Sophia Mjema walokole katua kwenu mwrnye hasira nyingi Kama shetani alivyotupwa duniani .Waislamu wamewapasia mpira huo wa Sophia Simba Kazi kwenu
 
Back
Top Bottom