Tetesi: RC Makonda awagomea Clouds leo

akua ni story ya kusikia, tetesi basi hakuna mengi ya ku comment ila pia siyo jambo la kustua sana japo me cyo mshabiki wa hiyo fiesta ila nacho jua ilikuwepo fiesta Dsm kabla ya kuwepo Makonda kwnye kiti na zilifana sn
 
Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri Press yake ambayo aliita kuwafahamisha uwepo wa Meli kubwa inayotegemea kuja siku zijazo kwa ajili ya kuleta Madokta toka China.

Baada ya Press kuisha vijana wa Mjengoni ‘Clouds’ wamemfata Makonda kumrekodi Jamaa kawachomolea mbele ya waandishi wengine wa habari kwa kusema hawezi kurekodi hana huo muda.!! Naona sasa mambo yamefika patamu.
Chanzo cha taarifa hii au weka hata kavideo
 
Ukicheza na Mbwa atakufuata mpaka Msikitini, Ukicheka na Nyani utavuna mabua, Malipo ni hapa hapa Duniani na asiesikia la Mkuu huvunjika guu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom