Alidekezwa toka awamu iliyopita. Hivyo wanavuna walichopanda.Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe
Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Lazima kuwe na usawa kwenye hili jambo😆Ili ngoma iwe droo
Kwani ni lazima? Si alitoa sababu ya kutoshiriki au kuwa balozi? Ata mimi nisingekubali hilo.Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe
Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe
Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294Amekataa au alibanwa na Ratiba zengine hata hivyo isingewezekana Aliy Kiba Hamonaizi ambao izo namba haziendani na Daimondi wawe Jukwaa Moja hata yeye Makala asingeweza
wale wana forollewers wengi.hii ndio dhana mahususi kuwa kila nsanii mkubwa kwa kupitia forrollowes wake mfano konde.7.9mil ukiwahasisha hawa usafi utakua umefikia kundi kubwa la watu.ndio maaana halisi ya mh mkuu kuwatumia wasanii.Waje na mikakati madhubuti ya usafi dar
Haya mambo sijui kiba harmones mondi
Wasanii bongo fleva haisadi kitu
Ova
Tarehe 04/12/2021,Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe
Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Ingekuwa kipindi cha Magufuli. Angekubali. Sasa amekataa maana anataka alipwe.
Alidekezwa toka awamu iliyopita. Hivyo wanavuna walichopanda.
Wasanii wakitanzania wamekuwa masikini kwa kazi za serekali. Juwata jazz. DDC Mlimani Park. Moro jazz. Kimulimuli jazz. Safari trepper jazz. Dar Jazz. Wote wamekufa kimasikini. Kisa kukopwa na serekali. Daimond ni mfanya biashara. Anawatu wa kuwalipa kwa mweziMkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe
Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata
USSRView attachment 2034294
Naona wasanii kwao ndiyo watu wa muhimu sanaHuo ubalozi mlitaka kumlipa kiasi gani kwani?
Bure, eti kwa sababu wanajitoleaHuo ubalozi mlitaka kumlipa kiasi gani kwani?
Afanye bure karogwa? Kodi za usafi wanazokusanya bajeti yake wamepeleka wapi?!Bure, eti kwa sababu wanajitolea