RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

kwasababu sio Msafi mpe mkono, humuwez kiserikali, humuwezi kifedha humuwez kichawi.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Alidekezwa toka awamu iliyopita. Hivyo wanavuna walichopanda.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Kwani ni lazima? Si alitoa sababu ya kutoshiriki au kuwa balozi? Ata mimi nisingekubali hilo.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294Amekataa au alibanwa na Ratiba zengine hata hivyo isingewezekana Aliy Kiba Hamonaizi ambao izo namba haziendani na Daimondi wawe Jukwaa Moja hata yeye Makala asingeweza
 
Waje na mikakati madhubuti ya usafi dar
Haya mambo sijui kiba harmones mondi
Wasanii bongo fleva haisadi kitu

Ova
wale wana forollewers wengi.hii ndio dhana mahususi kuwa kila nsanii mkubwa kwa kupitia forrollowes wake mfano konde.7.9mil ukiwahasisha hawa usafi utakua umefikia kundi kubwa la watu.ndio maaana halisi ya mh mkuu kuwatumia wasanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Tarehe 04/12/2021,
  • Usafi wa mazingira,
  • Bata la Dar,
  • Uzinzi umetamalaki.
 
Uache kazi zako ukasimamie usafi tena bure.
Kwenye kodi serikali inakusamehe? Ukiwa hauna hela hakuna mtu atakayejishughulisha na wewe.
Mondi yupo sasa hii 100% Uzalendo, ndiyo wa kuongezeana kodi na tozo?
Ingekuwa kipindi cha Magufuli. Angekubali. Sasa amekataa maana anataka alipwe.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Wasanii wakitanzania wamekuwa masikini kwa kazi za serekali. Juwata jazz. DDC Mlimani Park. Moro jazz. Kimulimuli jazz. Safari trepper jazz. Dar Jazz. Wote wamekufa kimasikini. Kisa kukopwa na serekali. Daimond ni mfanya biashara. Anawatu wa kuwalipa kwa mwezi
 
Back
Top Bottom