RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku Ally Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmasemaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko mbele wasanii wana tabia hizi za kunatanata

USSR
Screenshot_20211205-221032.jpg
 
Naona Diamond akili zimeanza kumrudia Sasa. Kama mtakumbuka watu wengi walimshauri kujitenga na masuala ya ccm baada ya kampeni kali zilizoendeshwa na wanaharakati na kupelekea kukosa tuzo za BET.

Kwa maoni yangu Diamond Yuko sahihi.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe

Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
si alisema yeye hawatamuweza kwa serikali, manake serikali kaiweka mfukoni mwake. sasaivi anaweza hata kukataa chochote cha serikalini.
 
Chama la Domo akiwa Kama Rais linajulikana kimataifa Kama WCB. Nadhani wote tunajua hiyo W kirefu chake Ninini. Kwa hiyo Ni wazi alichokataa yeye Ni kuwa balozi Ila wampe Urais wa usafi atakubali.

Sasa Leo awe balozi kutoka kwenye Urais!!! MTU anayeishi kwenye Ubepari wa kimarekani. Leo wewe umuweke behewa moja na mahasimu wake wakati mtu ashaanza kuona faida ya ubinafsi na wivu aliojifunza kwa maniger wa kimarekani.
 
Huyo Diamond siasa za CCM ndio zimemgharimu. Ameona kuendelea kujishikiza na ccm ni kujichimbia kaburi.
angu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe

Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
 
Back
Top Bottom