RC Makalla kusema Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko CHADEMA maana yake CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,010
RC Makalla ni Kada mkongwe wa CCM na amewahi kuwa Mhadhini wa Chama hivyo kauli zake zina uzito wa kitaifa.

Makalla amesema Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko CHADEMA. Sasa kama CCM imemuomba Diamond Platnumz aje kuwakabili CHADEMA ina maana wao wamezidiwa. Kwahiyo CHADEMA ni mkubwa kuliko CCM na Diamond PlatnumZ ni mkubwa kuliko Vyama Vya Siasa 😄😄🔥.

Nawatakia Dominica njema 😀
 
RC Makalla ni Kada mkongwe wa CCM na amewahi kuwa Mhazini wa Chama hivyo kauli zake zina uzito wa kitaifa

Makalla amesema Diamond Platinum ni mkubwa kuliko Chadema

Sasa kama CCM imemuomba Diamond Platinum aje kuwakabili Chadema ina maana Wao wamezidiwa

Kwahiyo Chadema ni mkubwa kuliko CCM

Na Diamond Platinum ni mkubwa kuliko Vyama Vya Siasa

Nawatakia Dominica njema
Bwashee Huna Jipya siku hizi hueleweki Huna Hoja za Maana siku hizi
 
Kwani uongo kuwa ili CCM wafanikishe mikutano yao lazima wawatumie akina diamond kukusanya watoto ili iwe hadhara yao!
 
Back
Top Bottom