RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe

Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Atakubalije swala la usafi wakati yeye ni mchafu.
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii diamond kuwa balozi wa usafi huku All kiba na Hormones wakipokea kwa moyo mweupe

Hii Domo amezingua au mmaseamaje mwanajf wenzangu hizi shugli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Makala na wakala wa akina Makamba. Diamond alikuwa kipenzi cha Dkt Magufuli. Sidhani hata kama alialikwa. Ukiangalia hii ni mbinu ya kudhoofisha wote waliokuwa wafuasi wa Dkt Magufuli.

Si mnakumbuka Mama hata siku ile anamsifia Hamoniza, so huu ni muendelezo wa kufuta legacy ya Dkt Magufuli. Pole Diamond najua hawamuwezi dogo.
 
Waje na mikakati madhubuti ya usafi dar
Haya mambo sijui kiba harmones mondi
Wasanii bongo fleva haisadi kitu

Ova
 
Mbona Harmo nae alikua anapendwa sana na Magu
Makala na wakala wa akina Makamba. Diamond alikuwa kipenzi cha Dkt Magufuli. Sidhani hata kama alialikwa. Ukiangalia hii ni mbinu ya kudhoofisha wote waliokuwa wafuasi wa Dkt Magufuli. Si mnakumbuka Mama hata siku ile anamsifia Hamoniza, so huu ni muendelezo wa kufuta legacy ya Dkt Magufuli. Pole Diamond najua hawamuwezi dogo.
 
Mbona Harmo nae alikua anapendwa sana na Magu
Wanatafuta pa kutokea, yaani mchongo uko hivi. Diamond anawafuasi wengi kuliko Diamond. Kama Ilivyo kwa chinga. Hivyo lengo ni kumdhihaki Diamond ili mashabiki wake wengi wamchukie Mama. Huu mchongo uko kama ule wa Machinga tu.

Lengo la akina Makala ni kuhakikisha Mama wanamgombanisha na makundi makubwa ya wananchi 2025, na ikifika huo wakati akina Makamba et al watasema ohh Mama hukubaliki ukae pembeni.

Yeye Mama anaingia kichwa kichwa anawashabikia hao akina Makala. Haingii akilini hata kidogo Diamond akatae kuwa Balozi wa usafi.
 
Ingekuwa kipindi cha Magufuli. Angekubali. Sasa amekataa maana anataka alipwe.
 
Wanatafuta pa kutokea, yaani mchongo uko hivi. Diamond anawafuasi wengi kuliko Diamond. Kama Ilivyo kwa chinga. Hivyo lengo ni kumdhihaki Diamond ili mashabiki ...
So you are co-engineering on this au unaota tu ndoto zako? Haya yote umeyatoa wapi mkuu kama you are not part of it?

Bab tale na makala picha zinaenda?
 
Mkuu wangu wa mkoa amesema amesikitishaa na na msanii Diamond kuwa balozi wa usafi huku All Kiba na Harmonize wakipokea kwa moyo mweupe

Hii amezingua au mmaseamaje mwanaJF wenzangu hizi shughuli za kijamii hata huko kwenye mbele wasanii wanatabia hizi za kunatanata

USSRView attachment 2034294
Huyo kijana enzi iliyopita alipeta sana Ila toka awamu mpya imekuja naona amepotea kabisa. Yawezekana ni aina ya tungo anazotumia kwenye nyimbo zake hazimfurahishi bi mkubwa maana huweka maneno makali kidogo yasiyo na staha.

Pia amekuwa kama mgema, Pombe imesifiwa sana, waswahili wanasemaga "la mgema likisifiwa sana pombe hutia maji" sasa akazidisha maji mno.

Ni vema anatumia nafasi hii pia kupatana na wanamuziki wenzake sababu wote wapo kwenye tasnia moja atagoma kupanda jukwaa mpaka link?

Afahamu kwamba yeye ni mfanyabiashara, anaowagomea wanaweza kumuweka pabaya pia maana ni viongywa nchi, atapigwa Kodi na shuruba za kuzuiwa vibali vya show zake jambo ambalo ni hasara kwake na jamii inayomtegemea wakiwemo watu aliowaajiri.

Abadilike akue sasa.
 
huwezi tumia brand ya mtu kirahisi rahisi hivyo.... nategemea kumjona diamond akwakimbia ccm 2025
 
Back
Top Bottom