RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Wewe bibi mbona uchambuzi wako umegonga ukuta? Makala ni mwenezi sasa
 
We chawa umejisikiaje baada ya makala kuchukua nafasi ya boss wako?
 
Hivi wewe Suzy Elias huwa unajaribu kurudi nyuma na kusoma pumba zako unazoharisha?

Soma tena ujinga wako hapo juu
 
Watoto wa mjini wameshinda dhidi ya washamba toka Kanda pendwa.
Kwakweli bado watoto wa mjini ndio wameshika mpini !

Lakini kila chenye mwanzo na mwisho upo tu. !
Just a matter of time .
Dunia ni rangilangire !🙏🙏
 
Haya sasa....

Kimeumana!
 
Unataka kusema anchojua Dar ndiyo kipo Mwanza?
UVCCM mnashupaza shingo na hamna uelewa wa mambo madogo tu.
Haya, kumbuka alikuwa DAR kipindi cha Dikteta, na mambo mengi alifanya nje ya sheria of which ndicho anatakkata hata sasa kufanya.
Hatimaye... Kimeumana!
 
Tonge La Mwisho Ndiyo La Kukombea Mboga
Sasa Makala Anaweza Kupoteza Tonge Lake Hata Kama Anayeagiza Ni Muhuni Pokea/Tekeleza Chap Chap
Matokeo yake, meza imepinduliwa....

Karma is a bitch...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…