RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
 
Makonda ameamsha uhai Wa Chama cha Mapinduzi hivyo aungwe mkono. Kupambana na wazembe na Mafisadi SIO KAZI rahisi. Makonda anafanya Kile wanachokihitaji WATANZANIA walioko nje ya mfumo Wa kusimamia rasilimali za umma. WATANZANIA wanahitaji Kiongozi anayewakemea wezi bila kupepesa macho.
 
Makonda ameamsha uhai Wa Chama cha Mapinduzi hivyo aungwe mkono.
Kupambana na wazembe na Mafisadi SIO KAZI rahisi.
Makonda anafanya Kile wanachokihitaji WATANZANIA walioko nje ya mfumo Wa kusimamia rasilimali za umma.
WATANZANIA wanahitaji Kiongozi anayewakemea wezi bila kupepesa macho.
WAtanzania Wachache hasa wenye mlengo wa Upinzani hatupendi kuona mtu mwenye mafanikio akiwa upande wa pili. Kwa sasa ukipita kwenye mitandao hasa JF utakuta Makonda anaanzishiwa nyuzi nyingi sana za matusi, lawama na kukatishwa tamaa. Kisa tu yupo kwenye CCM, Kama unaona natania tafuta nyuzi za LOWASA enzi akiwa CCM.. Na baadae usome nyuzi za LOWASA wa CDM.

Mind you... Watanzania tumekuwa brainwashed na Mlengo wa msukumo wa Ukereketwa wa Vyama vyetu vya Siasa. Hata mpinzani wake awe mzuri kiasi gani akiwa hai hamsifiii anasubiri afe ndipo aje atake hadi kuona kaburi.
 
Labda watanzania mazuzu, lakini wanaojielewa wanajua hizo ni siasa za kiki za kishamba.
 
WAtanzania Wachache hasa wenye mlengo wa Upinzani hatupendi kuona mtu mwenye mafanikio akiwa upande wa pili. Kwa sasa ukipita kwenye mitandao hasa JF utakuta Makonda anaanzishiwa nyuzi nyingi sana za matusi, lawama na kukatishwa tamaa. Kisa tu yupo kwenye CCM, Kama unaona natania tafuta nyuzi za LOWASA enzi akiwa CCM.. Na baadae usome nyuzi za LOWASA wa CDM.
Mind you... Watanzania tumekuwa brainwashed na Mlengo wa msukumo wa Ukereketwa wa Vyama vyetu vya Siasa. Hata mpinzani wake awe mzuri kiasi gani akiwa hai hamsifiii anasubiri afe ndipo aje atake hadi kuona kaburi.
Makonda ni jambazi.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
CHAWA unataka kumwambia RC-mwakilishi wa Rais Samia Jijini Mwanza atekeleze maagizo ya kajamba nane?

Unajua jambo fulani lifanyike na lisifanyike ni siri za rais na RC na huyo kajambanane hajui na wala hayupo kwenye mfumo na hapaswi kujua...?

Unamchukuliaje RC wa mkoa wowote, unataka kumlinganisha na mtu ambaye hata majukumu yake ya kazi si ya kutoa maagizo?

#Bastard.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi. Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa WM na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Kwani nyie wenzetu mnapataga wapi muda wa kuanza kuandika mambo ya watu humu.
Maana maisha haya na pilika hizi mm naona kila mtu yupo bize kwelikweli..
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa WM na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Yule atolewe tu, kazi hawezi ila kinacho mpa kiburi ni madhabau ya Msoga ila ni mjinga anashindwa kusoma mchezo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Chawa unataka kumwambia RC-mwakilishi wa Rais Samia mkoani Mwanza atekeleze maagizo ya kajamba nane?
Unajua jambo fulani lifanyike na lisifanyike ni siri za rais na RC na huyo kajambanane hajui na wala hayupo kwenye mfumo na hapaswi kujua?
Unamchukuliaje RC wa mkoa wowote, unataka kumlinganisha na mtu ambaye hata majukumu yake ya kazi si ya kutoa maagizo?

#Bastard.
Kwani yeye hajawai kuwa RC?sasa asichojua Makonda serikalini ni kipi!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye hajawai kuwa RC?sasa asichojua Makonda serikalini ni kipi!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema anchojua Dar ndiyo kipo Mwanza?
UVCCM mnashupaza shingo na hamna uelewa wa mambo madogo tu.
Haya, kumbuka alikuwa DAR kipindi cha Dikteta, na mambo mengi alifanya nje ya sheria of which ndicho anatakkata hata sasa kufanya.
 
Back
Top Bottom