Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,775
- 699,198
Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Macho yako ndo ya 2008Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Ni kosa la setting ya kamela sababu matukio yote ni baada ya uchaguzi wa 2015. Ukisikiliza na kuangalia matukio kuhusu ajira na mengine unajua ni recent events.Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Pole mkuu,basi tumia akili za kikubwa pengine unatumia za kitotoUnadhani kuigundua hiyo 2008 nilitumia nini?!!!...... Mbona mmekuja kwa makumi kuitetea!
Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Hawakurekebisha tarehe ya kutengenezwa kwa kamera. hata camera yangu hapa home ukipiga picha au video inaandika mwaka 2015. Niliinunua mwaka 2016 Ujerumani.
Mkuu, Ronal Reagan nimesoma post yako ukijaribu kumuelewesha johnthebaptist
Napenda kukwambia tu, hawa vijana wa lumumba wameshikwa wakashikika..
Hilo la mwaka 2008 ndio tawi pekee walilobakiza na watajishikilia hata ujaribu kuwaelewesha kwa njia gani, hawatokubali kukubali kuonyesha kuelewa!
Mkuu hiyo video pale Takukuru itaishia mapokezi ni kama inakosa uwiano wa wahusika na " wakati "!Pole mkuu,basi tumia akili za kikubwa pengine unatumia za kitoto
Mkuu kwani mtu anagombea udiwani/ ubunge ili apate nini kama siyo pesa?!! Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea!Hivi kwanini binadamu tumekuwa wabaya namna hii? Yaani unawasaliti watu waliokuchagua kwa sababu ya pesa!!?
Sikiliza hii kitu.
unaliwa t... wewe unapenda chama cha cc kupindukiavideo ya kutengeneza hiyo sio original
Hata kwenye simu usipo update itaonyesha mwaka iliyotengenezwa..hilo ni kosa dogo sana...cha muhimu ni material contents ya video!Mkuu usipanic nimeuliza tu hiyo 2008 kwenye hiyo video inamaanisha nini?!!l
Daaah...mbaya sana..wanaumbuka