Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,916
- 7,441
Kwa mtazamo wako video ilirekodiwa 2008 na watabiri ambao walijua Gambo atakuja kuwa RC Arusha?Au Mnyeti D.C Meru?Uharamu wa video kwa tarehe unaharamisha mazungumzo yaliyorekodiwa. Ushahidi mwingine unaokosekana ni kutokuwepo makabidhiano ya pesa kukamilisha suala la rushwa.
Kulingana na matamshi ya Nasari, ni kwamba ni kithibiti kisicho na mashaka, kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Inashangaza kuona kuwa wameshindwa hata kurekebisha tarehe za hiyo video.
Hivyo basi, ni sahihi mtu yeyote kukanusha uhalali wa hiyo video.