Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,389
Halafu huyu anadanganya umma wa Watanzania eti anainyoosha nchi! Kumbe yuko busy kusambaratisha upinzani kwa kutumia ajira za Serikalini ambazo zinatokana na kodi ya walipa kodi nchini.
Msikilizeni huyu mnafiki hapa.
Yeye sasa ndo tunamnyoosha!