RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

Bw. John hebu jiulize maswali mepesi yafuatayo:-

- Kwa mwaka huo 2008, RC wa Arusha alikuwa nani?

- DC wa Arumeru alikuwa nani?

- RC wa sasa 2017 Gambo na DC Mnyeti mwaka huo walikuwa wapi?

- Rais wa sasa 2017 John Magufuli alikuwa na cheo gani wakati huo?

- Na mwisho, huyo E.P. Mollel alikuwa nani mwaka huo???

Mungu ni mwema sana, maovu na unafiki wa CCM wanaoufanya gizani kwa siri ametupa nafasi ya kuuona na kuusikia, angalau kwa sehemu ndogo tu. Hapo ni Arumeru, je Tanzania ina wilaya ngapi? Idara ngapi na kata na vijiji vingapi uhuni huu unaendelea kila siku?? Tanzania haiendelei kwa sababu ya tatizo moja kubwa nalo ni CCM. Hicho kinachoitwa CCM ki ukweli ni furushi (chama?) moja kubwa lililobeba fitna, ujinga, chuki, rushwa na ufisadi, ushirikina nk nk. Ndugu zangu Watanzania hilo furushi mkikubali na kuamini kuwa mnaweza kuling'oa na kulitupa kunakostahili mtakuwa mmetenda jambo kubwa sana la ushujaa kwa Taifa na vizazi vyenu sasa na baadaye. Inawezekana kwa kulitoa hilo dubwana mkawa pia mmeondoa matatizo yenu kwa asilimia 50% automatically and immediately. Haya matatizo tunayoyafahamu mfano umaskini, ujinga na rushwa ni kazi na matokeo ya CCM 100%. CCM haina nia wala uwezo wa kubadilika wala kujisafisha hivyo inatakiwa tu kuondolewa madarakani.

Ukweli na historia ya CCM ndivyo ilivyo toka miaka ile ya themanini; CCM ni rushwa, dhuluma, ukatili na hila dhidi ya Taifa na wananchi. Ni vile tu sehemu kubwa ya Watanzania hawana elimu ya kutosha (ujinga) na taarifa sahihi za wanayotendewa na hao mumiani.
Mkuu nisikuchoshe, nilipoona hiyo 2008 sikuwa na hamu tena ya kuifungua hiyo video!
 
Mkuu, Ronal Reagan nimesoma post yako ukijaribu kumuelewesha johnthebaptist

Napenda kukwambia tu, hawa vijana wa lumumba wameshikwa wakashikika..

Hilo la mwaka 2008 ndio tawi pekee walilobakiza na watajishikilia hata ujaribu kuwaelewesha kwa njia gani, hawatokubali kukubali kuonyesha kuelewa!
 
Nimeona watu wengi sana wanajenga utetezi wao kwenye suala la tarehe na mwaka tu, lakini hawana shida na picha ya video na maongezi yanayoendelea huku ndani, hoja ya mwaka na tarehe inapoendelea kuibuka hapa binafsi naona inaongeza nguvu zaidi ya uhalali na ukweli wa hii kitu kama tu tunakubaliana na picha za video na maneno yake kwani suala la tarehe ya camera sidhani kama ni hoja kubwa sana hapa sana sana anathibitisha zaidi ukweli wa hii video kwani mwenye kuileta aliamua kuileta kama ilivyo bila kuedit chochote
Uharamu wa video kwa tarehe unaharamisha mazungumzo yaliyorekodiwa. Ushahidi mwingine unaokosekana ni kutokuwepo makabidhiano ya pesa kukamilisha suala la rushwa.

Kulingana na matamshi ya Nasari, ni kwamba ni kithibiti kisicho na mashaka, kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Inashangaza kuona kuwa wameshindwa hata kurekebisha tarehe za hiyo video.

Hivyo basi, ni sahihi mtu yeyote kukanusha uhalali wa hiyo video.
 
HIVI CHADEMA NI CHAMA CHA UPINZANI AU SOKO LA MADIWANI?
 
Mpaka kufikia 2020, wanaCCM wenyewe watamsukuma dikteta na kumtupa kama ubua, kwani hana ushawishi wowote ulio halali katika kukijenga chama zaidi ya kutumia mbinu chafu ya rushwa. Eti badala ya kuwanunua wapiga kura, wao wanawanunua madiwani! Huu ni utumbo uliokubuhu.
 
Mkuu, Ronal Reagan nimesoma post yako ukijaribu kumuelewesha johnthebaptist

Napenda kukwambia tu, hawa vijana wa lumumba wameshikwa wakashikika..

Hilo la mwaka 2008 ndio tawi pekee walilobakiza na watajishikilia hata ujaribu kuwaelewesha kwa njia gani, hawatokubali kukubali kuonyesha kuelewa!
Asante mkuu Lukesam, point taken.
 
Mpaka kufikia 2020, wanaCCM wenyewe watamsukuma dikteta na kumtupa kama ubua, kwani hana ushawishi wowote ulio halali katika kukijenga chama zaidi ya kutumia mbinu chafu ya rushwa. Eti badala ya kuwanunua wapiga kura, wao wanawanunua madiwani! Huu ni utumbo uliokubuhu.

Hakuna jibu sahihi kama hilo hapo juu. CHADEMA wanajipa pressure bure na madawani wanaojiuza? Vipi mbunge wao mmoja akihama, wataandamana na kuanzisha operesheni nyingine kama siyo kubadili gia angani! Ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani kuwa kinashupalia matukio kila siku.

HIVI CHADEMA NI CHAMA CHA UPINZANI AU SOKO LA MADIWANI?
 
Siasa bauana. F**k Off. Me nilifikiri mtu anapokea mtonyo. Kumbe naona interrogation tu apa. Intellectuals tuna kazi kuelewa haya mambo.
 
Kweli hii nchi ni shida, pamoja na majibu yote na ufafanuzi wenye logic bado watu wanahoji "mbona imeandikwa 2008 ?"
Mkuu watu wapo kazini, ni wachache sana wanaouliza sincerely, wengine wana jukumu Maalum la kupindisha mjadala, jiulize mtu mwenye laptop / smartphone na ameweza kujisajili jamiiforums anashindwa Vipi kuelewa kwamba hiyo ni camera settings? Badala ya kuangalia content ya video wapo busy na tarehe!
 
Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Mkuu acha ushamba,hujawahi kutumia vifaa vya ki elektronik kana kamera,simu.nk?usiposet tarehe itabaki vile vile hata 1882.
Huyo diwani alikuwa madarakani 2008?
 
Baaaam kwishney!
Halafu kuna mtu anasema ya kutengenezwa how???
Gambo gambika Mollel kajieleza mwanzo mwishooooo
TAKUKURU msimung'unye hiii iko dhahiri
JK Membe Lowassa Magu mumo kwa mumo
SIASA NI MCHEZO MCHAFU KAZI YA SHETANI!
ccm hapa hamchomoki!
Kumbe janja yenu ni hiii?! AIBUUUUUUU KHA!
Mkuu sina neno
 
Mkuu h
Mkuu acha ushamba,hujawahi kutumia vifaa vya ki elektronik kana kamera,simu.nk?usiposet tarehe itabaki vile vile hata 1882.
Huyo diwani alikuwa madarakani 2008?
Mkuu haina haja ya kupanic na kutoa lugha za ufipa, wewe nieleweshe tu maana aulizaye ataka kujua!!
 
Dah wabongo tuache kudanganyana unapoamua kufanya jambo hakikisha mazingira unayofanyia hilo jambo yanaendana na uhalisia wa jambo la sivyo utajikuta mishipa inakutoka kushupalia jambo kumbe lina erros ambazo zinaonekana hata kwa mtoto hivyo recod inaonekana 2008 mhusika anafanyiwa interview alafu bila kujijua mishipa inakutoka kwapa zinanuka hushtuki yaani kila siku tunalalamika bongo movie wanakera movie hazieleweki kumbe vitu kama hv haviangaliwi acheni kunywa maji ya bendera mtakufa mm napita hv Homa ya manjano na kijani + pundamilia
Acha umburula wewe, 2008 Gambo alikuwa R.C?,Magufuli alikuwa rais?, Mnyeti alikuwa D.C? Kifaa chochote usiposet tarehe itabaki vile vile tafuteni majuha wakudanganya.Utawala uneshafitinika.
 
Mkuu watu wapo kazini, ni wachache sana wanaouliza sincerely, wengine wana jukumu Maalum la kupindisha mjadala, jiulize mtu mwenye laptop / smartphone na ameweza kujisajili jamiiforums anashindwa Vipi kuelewa kwamba hiyo ni camera settings? Badala ya kuangalia content ya video wapo busy na tarehe!
Mkuu ikifika mahakamani wanaangalia kila kitu kamuulize Uhuru kule Kenya!
 
Mkuu h

Mkuu haina haja ya kupanic na kutoa lugha za ufipa, wewe nieleweshe tu maana aulizaye ataka kujua!!
Kuna vitu hata kuuliza kunaonyesha IQ ilivyo ndogo, wewe huwezi ku reason Je Wanaotajwa hapo Kama Gambo,Mnyeti,Magufuli Walikuwa na nyadhifa hizo 2008?
 
Back
Top Bottom