RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

kwa staili hii chadema hawafai kupewa nchi. wanabargain kabisa nafasi zao za uongozi?? hawashindwi kutuuza hawa.
 
Dah wabongo tuache kudanganyana unapoamua kufanya jambo hakikisha mazingira unayofanyia hilo jambo yanaendana na uhalisia wa jambo la sivyo utajikuta mishipa inakutoka kushupalia jambo kumbe lina erros ambazo zinaonekana hata kwa mtoto hivyo recod inaonekana 2008 mhusika anafanyiwa interview alafu bila kujijua mishipa inakutoka kwapa zinanuka hushtuki yaani kila siku tunalalamika bongo movie wanakera movie hazieleweki kumbe vitu kama hv haviangaliwi acheni kunywa maji ya bendera mtakufa mm napita hv Homa ya manjano na kijani + pundamilia
Mwigulu n.a. Lwakatare vipi au Wema/Mbowe?
Eti ya kutengeneza! Kwani zingine zinazaliwa?
 
Hivi hapa kuna utetezi gani zaidi unaweza kutolewa? Watoa rushwa wakubwa hawa! Papambavu kabisa na hata yule anayesema jukwaani "na wale wengine wako wapi?" Anapaswa kupimwa akili
 
Usanii mtupu... Chadema vijana wao wa Propaganda warudi shule upya
 
Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!

Bw. John hebu jiulize maswali mepesi yafuatayo:-

- Kwa mwaka huo 2008, RC wa Arusha alikuwa nani?

- DC wa Arumeru alikuwa nani?

- RC wa sasa 2017 Gambo na DC Mnyeti mwaka huo walikuwa wapi?

- Rais wa sasa 2017 John Magufuli alikuwa na cheo gani wakati huo?

- Na mwisho, huyo E.P. Mollel alikuwa nani mwaka huo???

Mungu ni mwema sana, maovu na unafiki wa CCM wanaoufanya gizani kwa siri ametupa nafasi ya kuuona na kuusikia, angalau kwa sehemu ndogo tu. Hapo ni Arumeru, je Tanzania ina wilaya ngapi? Idara ngapi na kata na vijiji vingapi uhuni huu unaendelea kila siku?? Tanzania haiendelei kwa sababu ya tatizo moja kubwa nalo ni CCM. Hicho kinachoitwa CCM ki ukweli ni furushi (chama?) moja kubwa lililobeba fitna, ujinga, chuki, rushwa na ufisadi, ushirikina nk nk. Ndugu zangu Watanzania hilo furushi mkikubali na kuamini kuwa mnaweza kuling'oa na kulitupa kunakostahili mtakuwa mmetenda jambo kubwa sana la ushujaa kwa Taifa na vizazi vyenu sasa na baadaye. Inawezekana kwa kulitoa hilo dubwana mkawa pia mmeondoa matatizo yenu kwa asilimia 50% automatically and immediately. Haya matatizo tunayoyafahamu mfano umaskini, ujinga na rushwa ni kazi na matokeo ya CCM 100%. CCM haina nia wala uwezo wa kubadilika wala kujisafisha hivyo inatakiwa tu kuondolewa madarakani.

Ukweli na historia ya CCM ndivyo ilivyo toka miaka ile ya themanini; CCM ni rushwa, dhuluma, ukatili na hila dhidi ya Taifa na wananchi. Ni vile tu sehemu kubwa ya Watanzania hawana elimu ya kutosha (ujinga) na taarifa sahihi za wanayotendewa na hao mumiani.
 
Haaaaaa haaaaaa kwa hili siwezi nikalikubali kizembe hv nimekuwa nikiamini mambo mengi yapo kinyume lakn kwa hili wrong way ya hatari sana tatizo hakuna watu ambao ni maproffessional wa editing bongo sijaona ukweli wowote hapo mtu yupo kama anahojiwa alafu anafata kile kina kinachoelekezwa iweje tarehe ikosew mwez na mwaka alafu muda uwe sahihi alafu huyo aliyerekodi hiyo alitumia nokia ya tochi siyo kamera homa ya manjano na kijani+ pundamilia nilitegemea labda mtu anaoneka live bwana shika mpunga huu hapa alafu mwaga mboga kumbe mapicha picha ya joti na mpoki kwenye movie ya kifo kwendewn huko
siyo lazima uamini.endelea kuvaa mashati ya kijani ya ccm
 
kwa staili hii chadema hawafai kupewa nchi. wanabargain kabisa nafasi zao za uongozi?? hawashindwi kutuuza hawa.
kwanini nyie ccm mnanunua watu halafu mnasema wameamua wenyewe kwa hiari yao?
 
Kazi ipo!!

Ndio maana siasa zimeanza kunitoka moyoni mwangu!!!

wanasiasa wachumia tumbo tu hakuna mwenye mapenzi ya kweli kwa wananchi!!

Kama chadema nao wananunulika kwaajira?? milioni 2?? huu ni ujinga wa hali ya juu!!!
 
Back
Top Bottom