Pengine unakosea kitu ambacho kilianza kosewa kwa mwalimu wako. Na hii ndo shida ya wajamaa.Na wasomi wa ccm wanharibu sana fikra. Einstein alikuwa endeleza concept za newton ili ziweze apply ktk mazingira tofauti.Ktk physics kuna vitu huwa vintajwa kuwa constant ua vinakuwa ignored. Kukurahisishia tuu ni km Yesu alivyosema hkuna pindua torati ila kuikamilisha. Torati ilikuwa ya wayahudi pekee ili kuwafikia watu wengine ndipo iliongezewa zaidi .Mfano badala ya kusubiri ili umpige jiwe mzinzi, ni bora mzinzi akakumbuka hata kuangalia kwa matamani tuu tayari kazini, ili kumuua mtu unahitaji kuanza mchukia. Kwa newton, sheria zake zili apply kwa speed ya kawaida ktk mazingira ya dunia. Sayansi ina mahusiano makubwa sana na Ukristu. Yesu alipomwambia yule mwanake pale kisimani kuwa siku zaja waabuduo wa kweli hawataabudu tena kwa kuangalia yerusalem au ktk hii milima. Alikuwa anaandaa Ukristu kwenda mbali zaidi.Zi unajua dunia ilivyo?Alijua kuna sehemu ya dunia itakuwa ngumu kuangalia milima na yerusalem. Alijua kuna siku haitokuwa rahisi kuangalia angani na ikawa angani katk sehemu tofauti duniani. Alijua watu watakwenda space. CCM bado wanaangalia madhabahu yao ambayo ni very local.Mmmh hapa kazi ipo, Nimekumbuka mwalimu wangu wa physics kule special school aliposema ujio wa Albert einstein ,Concept za newton zilikuwa challenged sana, ila kikubwa newton na einstein ni vizazi viwili tofauti sana, einstein alikuja miaka 300 baadae sana ndio sasa mambo ya sasa yatakuwa challenged miaka 3 ijayo bado kidogo sana sana
Kwa haikuwa emesetiwa vyema.Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Baada Mbunge Joshua Nassari akishirikiana na mwenzie wa Arusha Godbless Lema kuja kile walichokiita ni ushahidi wa jinsi Madiwani wa Chadema waliorudi Ccm kuwa walinunuliwa, Taarifa za uhakika zinasema kuwa Chama hicho kipo kwenye mkakati mzito wa kutengeneza video zingine na kuzisambaza kwa nia ya kuwaaminisha Watanzania kuwa Ccm inanunua Madiwa ili kupata huruma ya wananchi.
Aliefichua siri hiyo ni Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Simon Msigwa kwenye moja ya makundi ya WhatsApp ya wanachama wa Chama hicho na kwamba safari hii video zitakazotengenezwa zitalenga kumuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo.
My take:
Chadema inakokwenda itabaki zilipendwa.
Ndio maana nakusisitiza utumie akili,takukuru sio lazima wapelekewe ushahidi wa moja kwa moja,hata viashiria tu vinatosha wao kupata pa kuanzia,upo?Mkuu hiyo video pale Takukuru itaishia mapokezi ni kama inakosa uwiano wa wahusika na " wakati "!
ccm ni choo cha stend imeoza inanuka rushwa.nchi imewashida ni basi tu,policcmkwa staili hii chadema hawafai kupewa nchi. wanabargain kabisa nafasi zao za uongozi?? hawashindwi kutuuza hawa.
We simba karatasivideo ya kutengeneza hiyo sio original
Ccm ni janga la kitaifaUmechoka kubeba mabox huko kwa wazungu!! Rudi basi tujenge nchi...!!
mzee wa bombi nyombiWe simba karatasi
Yaishe mkuu, Nasssri ameshanijibu kiungwama kabisa kwamba hata yeye alijaribu kuifuta ile 2008 wakati anarekodi lakini alishimdwa kwa sababu yeye si mtaalamu wa IT!Ndio maana nakusisitiza utumie akili,takukuru sio lazima wapelekewe ushahidi wa moja kwa moja,hata viashiria tu vinatosha wao kupata pa kuanzia,upo?
HahahahaUmechoka kubeba mabox huko kwa wazungu!! Rudi basi tujenge nchi...!!
Yaishe mkuu, Nasssri ameshanijibu kiungwama kabisa kwamba hata yeye alijaribu kuifuta ile 2008 wakati anarekodi lakini alishimdwa kwa sababu yeye si mtaalamu wa IT!
Sikiliza hii kitu.