RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

hajajujibu haraka kama Yule mnyeti mafisadi wakubwa Israel awashukie hata leo
 
Dah wabongo tuache kudanganyana unapoamua kufanya jambo hakikisha mazingira unayofanyia hilo jambo yanaendana na uhalisia wa jambo la sivyo utajikuta mishipa inakutoka kushupalia jambo kumbe lina erros ambazo zinaonekana hata kwa mtoto hivyo recod inaonekana 2008 mhusika anafanyiwa interview alafu bila kujijua mishipa inakutoka kwapa zinanuka hushtuki yaani kila siku tunalalamika bongo movie wanakera movie hazieleweki kumbe vitu kama hv haviangaliwi acheni kunywa maji ya bendera mtakufa mm napita hv Homa ya manjano na kijani + pundamilia
 
2008 Gambo alikuwa RC? Hao madiwani walijiuzulu mwaka 2008?

Ushaambiwa camera haikuwa updated tarehe lakn bado unabsha…. Ww ndo Mnyeti?
 
Mmemshindwa "Bashite" mmehamisha majeshi eeh!!
Safari hii mpaka mnyooke, ni rula tu!!
 
Huyu mkimbikizi toka Myanmar analeta uchochezi unamsingizia tu gambo japo rambi rambi ni Kweli alitafuna
 
Dah wabongo tuache kudanganyana unapoamua kufanya jambo hakikisha mazingira unayofanyia hilo jambo yanaendana na uhalisia wa jambo la sivyo utajikuta mishipa inakutoka kushupalia jambo kumbe lina erros ambazo zinaonekana hata kwa mtoto hivyo recod inaonekana 2008 mhusika anafanyiwa interview alafu bila kujijua mishipa inakutoka kwapa zinanuka hushtuki yaani kila siku tunalalamika bongo movie wanakera movie hazieleweki kumbe vitu kama hv haviangaliwi acheni kunywa maji ya bendera mtakufa mm napita hv Homa ya manjano na kijani + pundamilia
2008 mnyeti alikuwa DC?
 
Back
Top Bottom