Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,157
- 2,268
2008 hao walikuwa viongozi? Hili lilikuwepo? Mi nahisi ni suala la "camera settings"Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
2008 hao walikuwa viongozi? Hili lilikuwepo? Mi nahisi ni suala la "camera settings"Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Ok yawezekana aliyepiga si mtu makini so siyo wa kumuamini sana!tarehe kwenye camera ni suala la setting tu hata sasa hivi simu yangu inaweza kuonesha ni 1.12.2005
Nakuelewa, aliyerekodi ndio atatolea ufafanuzi atakapokuwa anaielezea video yake.Sawa mkuu lakini na hiyo 2008 siyo ya kuipuuzia!!
lete original kwan original inasemajevideo ya kutengeneza hiyo sio original
Yafaa tusubiri maoni ya kitaalamu.video ya kutengeneza hiyo sio original
Mkuu mimi sijamzungumzia Mollel nimeulizia tu hiyo 2008 inamaanisha nini kwenye hiyo video?!!Mollel hakuwa diwani mwaka 2008! Tuliza akili Mkuu fuatilia mambo kwa kituo ili uelewe kinachoendelea kwenye uzi huu.
Mbona ya mwaka 2008?video ya kutengeneza hiyo sio original
Wengine wana ubongo wa panya!Asipoona nafaka anatafuna hata noteSasa 2008 Gambo alikuwepo? Mollel alikuwepo. Camera haikuwa updated ! Changanua ubongo!
Mbona wewe umetengenezwa huna marindavideo ya kutengeneza hiyo sio original
Haaaaaa haaaaaa kwa hili siwezi nikalikubali kizembe hv nimekuwa nikiamini mambo mengi yapo kinyume lakn kwa hili wrong way ya hatari sana tatizo hakuna watu ambao ni maproffessional wa editing bongo sijaona ukweli wowote hapo mtu yupo kama anahojiwa alafu anafata kile kina kinachoelekezwa iweje tarehe ikosew mwez na mwaka alafu muda uwe sahihi alafu huyo aliyerekodi hiyo alitumia nokia ya tochi siyo kamera homa ya manjano na kijani+ pundamilia nilitegemea labda mtu anaoneka live bwana shika mpunga huu hapa alafu mwaga mboga kumbe mapicha picha ya joti na mpoki kwenye movie ya kifo kwendewn huko2008 mnyeti alikuwa DC?
....Sawa ila kabla ya kuuliza pasua bongo kidogo, vinginevyo utakuwa kama wale wauliza questionnaires ambao wanakuta mwananchi wanayetaka kumuhoji yuko nje ya nyumba yake ya miti na kuezekwa kwa nyasi but yet wanamuuliza nyumba yako ni ya bati au ya nyasi?Mkuu usipanic nimeuliza tu hiyo 2008 kwenye hiyo video inamaanisha nini?!!l
Hoja hii itilieni maanani 09/01/2008 kuna nini hapo kinaendeleaMbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008
Tumia akili basi,au hata za kuvukia barabara amna?Mkuu usipanic nimeuliza tu hiyo 2008 kwenye hiyo video inamaanisha nini?!!l
Nimeona watu wengi sana wanajenga utetezi wao kwenye suala la tarehe na mwaka tu, lakini hawana shida na picha ya video na maongezi yanayoendelea huku ndani, hoja ya mwaka na tarehe inapoendelea kuibuka hapa binafsi naona inaongeza nguvu zaidi ya uhalali na ukweli wa hii kitu kama tu tunakubaliana na picha za video na maneno yake kwani suala la tarehe ya camera sidhani kama ni hoja kubwa sana hapa sana sana anathibitisha zaidi ukweli wa hii video kwani mwenye kuileta aliamua kuileta kama ilivyo bila kuedit chochoteTarehe 09, mwezi wa 01, 2008. Ni shiiida sana hii kitu.