mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,230
Kama ule mliomfanyia kabenderaAlichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.

Ni kwenda kwa kiki tu,mbona mkurugenzi hakuutangazia umma badala yake alitumia utaratibu rasmi wa kiofisi?Kulikuwa na haja ya kujimwambafy hapa?Si wangekutana ofisini wakakubaliana?Mambo mengine hata sio habari,ni kupuuza tu!
Haya ni mambo ya kiofisi zaidi; wangeitana ofisini na kupeana maelekezo. Siamini kama mkurugenzi aliandika barua bila kupata malalamiko toka idara ingine ya serikali mfano Usalama wa Taifa
Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Umehama Darisalama?Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.

Happy tena?! 😀Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Ila jua mahakama ni muhimiliAlichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Hii inadhihirisha hofu ya CHADEMA kwamba wakurugenzi kuachiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi yanaweza kuingiliwa na muhimili mwingine kwa vigezo vya mwenyeketi wa kamati ya ulinzi na usalama, kwa sababu tu hayakuwapendeza wao wakubwa.Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Maelezo yako hayana mantiki yoyote. Halafu unaandika kwa herufi kubwa kama hujiamini. Hata kama situation ilikuwa kama unavyodai (inaelekea wewe ni team mkuu wa mkoa au mkuu wa mkoa mwenyewe) bado tu huyo mkuu wa mkoa angechukua hatua za kiofisi: kuna ngazi za juu! Haya mambo ya kulumbana na kuonyeshana ubabe hadharani kwa viongozi wa serikali siyo uongozi mzuri. Mambo kama haya yanamalizwa bila kushirikisha media.SISI TULIOKO HUKU NJE YA MAMLAKA SIONI KAMA KUNAYO SABABU YEYOTE YA KUFANYA TATHIMINI NA MABISHANO KWA MAAMUZI YALIYOFANYIKA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA
NAYASEMA HAYA KWA SABABU UFAHAMU WETU KATIKA JAMBO KAMA HILI NI WA JUU JUU SANA KWANI TUNAYAFAHAMU TU YALE TUNAYOSOMA KWENYE MITANDAO YALIYOWEZA KUANDIKWA NA MWANDISHI ALIYEANDIKA HABARI HIZI NA AMBAYE PENGINE HATA YEYE KASIKIA TU KWAMBA MKUU WA MKOA KAINGILIA KATI NA KURUHUSU UJENZI
LAKINI SIAMINI NA SITEGEMEI KWAMBA MKUU WA MKOA PENGINE ASHAFANYA JITIHADI ZA KUSHAURI OFISI YA MKURUGENZI ILI IFANYE KILE AMBACHO YEYE ALIONA NI SAHIHI KUFANYIKA NA PENGINE MKURUGENZI AKAAMUA KUTOMSIKILIZA AMA KUUFUATA USHAURI WA BOSI WAKE
NA HAPA NDIPO ANAPOMUA KUFANYA AMA KUCHUKUA HATUA AMBAZO YEYE ANAONA KWAMBA NI SAHIHI.
KWA SABABU SISI TUNAHITAJI NI MAENDELEO BASI TUSIWAANGALIE NA KUANZA KUWALAUMU KWANI HATA IKIJENGWA MAHAKAMA BADO NI SWALA LA KIMAENDELEO .
NA HAKUNA SEHEMU YA UTAWALA ISIYOKUWA NA MKUBWA ZAIDI YA MWINGINE.
MKUU WA MKOA NI KIONGOZI MKUU WA MKOA HUSIKA WENGINE WOTE WAKO CHINI YAKE WANAPASWA KUMTII KAMA NA YEYE ANAVYOPASWA KUITII MAMLAKA ILIYOKO JUU YAKE
HATA KAMA AKITENGUA MAAMUZI YA MKURUGENZI NI SAWA TU PIA KWA SABABU MKURUGENZI YUPO CHINI YAKE ILA NI VIBAYA MKURUGENZI KUTENGUA MAAMUZI YA MKUU WA MKOA.
Ndiyo maana MKE wake masela wa ARUSHA wanajipigia Tu..
Huyu gambo ataendelea kugongewa mwanzo mwisho
No tusilete siasa kwenye uchaguzi.Hii inadhihirisha hofu ya CHADEMA kwamba wakurugenzi kuachiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi yanaweza kuingiliwa na muhimili mwingine kwa vigezo vya mwenyeketi wa kamati ya ulinzi na usalama, kwa sababu tu hayakuwapendeza wao wakubwa.
Tume huru ni muhimu, ubabe kama huu hautakuwepo.