Monkey see Monkey do.Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maadishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabudi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Ebu fafanua kidogoNdiyo maana MKE wake masela wa ARUSHA wanajipigia Tu..
Huyu gambo ataendelea kugongewa mwanzo mwisho
Wacha waumbuane. Usichopenda kutendewa usimtendee mwingine.Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maadishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabudi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Mkuu kama mtu akikuchukia Serikalini japo naamini hili sio la chuki anaweza kufanya lolote, kipindi hiki kina mambo mengi sana ya kinyume cha taratibu..Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maadishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabudi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Amekosea. Mwenye Mamlaka ya kutoa vibali vya ujenzi au kuvisitisha ni Mkurugenzi wa Jiji, Wizara ya Ujenzi kwa majengo ya serikali au Mahakama kama kuna shauri linaendelea kuhusu ujenzi huo. Alichopaswa kufanya ni kuwasiliana na Mkurugenzi na kumfahamisha kwa maandishi kuwa sababu zilizowekwa kwenye zuio hazina mshiko hivyo aondoe zuio. Nae Mkurugenzi ajifunze kuwa kabla ya kutoa kibali alipaswa kujiridhisha kuwa taasisi zote zinazohusika hazina pingamizi.
Amandla.....
Ndiyo maana MKE wake masela wa ARUSHA wanajipigia Tu..
Huyu gambo ataendelea kugongewa mwanzo mwisho
Katika ili namuunga mkono. Tangu miaka yote mahakama ipo na haijawa kuwa threat
Just like deshi deshi.. 😂 😂Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
P
Mkuu P,Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maadishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabudi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Halafu huyo mbunge anakuja kuwa waziri, full figisu figusi.Kuna mmoja atakuwa mgombea ubunge, Kuna mmoja ndo atakuwa mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya uchaguzi.
Utawala bora upi we kalume kenge njaa tupu,vipi faini ya kabendera ulipata mgao.Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.
Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.
Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.
Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.
What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.
What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.
Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.
P
Asante sana.Utawala bora upi we kalume kenge njaa tupu,vipi faini ya kabendera ulipata mgao.
Tena tunakutafuta uingie anga zetu tukuoneshe.Asante sana.
P
Kumbe hajapona kale katabia kake ka kibashite bashite kutaka kiki za kijinga. Anafanya jambo zuri kwa kutumia njia mbaya.Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.