RC Gambo amtunishia msuli Mkurugenzi wa jiji Arusha

Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.

Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.

Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.

Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.

What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.

What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.

Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.

P
Atasikikaje asipofanya asipofanya cheap popularity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngosha Mayalla umeandika.vizuri sana,, vijana wanafanya kazi kwa kick! Ila hiyo para ya mwisho hebu malizia kwamba just like............who?
 
Kwani kangeenda kwa kificho mngekajuaje kama kenyewe ni kakubwa kimamlaka kuliko CED?
 
Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.

Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.

Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.

Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.

What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.

What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.

Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.

P
We Paschal huwa una akili sana. I
 
Haya ni mambo ya kiofisi zaidi; wangeitana ofisini na kupeana maelekezo. Siamini kama mkurugenzi aliandika barua bila kupata malalamiko toka idara ingine ya serikali mfano Usalama wa Taifa
Gambo akiwa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama ndiye ambaye,angepaswa kupewa taarifa na hao usalama wa taifa(wa ngazi ya mkoa) sidhani kama usalama wa taifa wanaripoti kwa mkurugenzi,Gambo anaweza kuwa sahihi angalau kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesikitika sana
yani una pesa, una mamlaka, una uume lakini bado unagongewa,
ndio maana nachukia ndoa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanawake wamekuwa jasiri sana.Hawanyimi penzi tena.
Hakikisha una nguvu tosha kumridhisha.Utawala sana
 
No tusilete siasa kwenye uchaguzi.
  1. Kura zinapigwa kituoni mbele ya mawakala wa vywma.
  2. Kura zinahesabiwa kituoni mbele ya mawakala wa vyama
  3. Matokeo ya kila kituo yanabandikwa, yanakuwa public. Hivyo kila chama kinakuwa na matokeo ya kila kituo, na hata kama hali ya uchumi kwa umasikini wa baadhi ya vyama hawana uwezo wa kuweka wakala kila kituo, wakala mmoja tuu mwenye smart phone anaweza kupita kupiga picha matokeo yote.
  4. Matokeo ya vituo yanapelekwa tallying centre ya kata, na tallying kufanyika mbele ya mawakala wa wagombea, madiwani wanatangazwa. Bao la mkono litapigwa vipi?
  5. Matokeo ya jimbo yanapelekwa kwa returning officer, tallying inafanyika ya matokeo Mbunge mbele ya mawakala wa wagombea, wabunge wanatangazwa. Bao la mkono litapigwa vipi?
  6. Kwenye tallying ya urais ndio hakuna mawakala, kwa uchaguzi wa 2020 hadi kwenye urais mawakala wa wagombea wawepo na independent tallying ziruhusiwe kujimlisha matokeo for verification ila sio kutangaza.
  7. Kufuatia matumizi ya BVR, tallying inafanywa electronically kwa zile zile scanned copies za matokeo ya vituo, hivyo wataiba wapi?.
  8. Kitu ambacho nakikubali, human errors na human mistakes zinaweza kutokea.
P
Hujui lolote kuhusu sanduku la kura bora ubaki kimya.Jadili hoja ya mkurugenzi na RC wake.
Karatasi za matokeo kituo cha kupigia kura zinachakachuliwa hapo hapo kituoni.
 
Aisee sijui nn kitatokea maana Dr Madeni sio mwepesi kihivyo ni mzito kweli kweli
 
Hujui lolote kuhusu sanduku la kura bora ubaki kimya.Jadili hoja ya mkurugenzi na RC wake.
Karatasi za matokeo kituo cha kupigia kura zinachakachuliwa hapo hapo kituoni.
Wakati hayo yakifanyika huyo wakala wenu anakuwa wapi?.
P
 
Na kwa kuwa barua ya kubatilisha kibali ya Mkurugenzi haijfutwa kimaandishi, maana yake ujenzi ukiendelea itakuwa ni haramu. Mkurugenzi aifikishe mahakamani mahakama kwa kujenga bila kibali. Sheria na iheshimiwe na watu wote.6u7
 
No tusilete siasa kwenye uchaguzi.
  1. Kura zinapigwa kituoni mbele ya mawakala wa vywma.
  2. Kura zinahesabiwa kituoni mbele ya mawakala wa vyama
  3. Matokeo ya kila kituo yanabandikwa, yanakuwa public. Hivyo kila chama kinakuwa na matokeo ya kila kituo, na hata kama hali ya uchumi kwa umasikini wa baadhi ya vyama hawana uwezo wa kuweka wakala kila kituo, wakala mmoja tuu mwenye smart phone anaweza kupita kupiga picha matokeo yote.
  4. Matokeo ya vituo yanapelekwa tallying centre ya kata, na tallying kufanyika mbele ya mawakala wa wagombea, madiwani wanatangazwa. Bao la mkono litapigwa vipi?
  5. Matokeo ya jimbo yanapelekwa kwa returning officer, tallying inafanyika ya matokeo Mbunge mbele ya mawakala wa wagombea, wabunge wanatangazwa. Bao la mkono litapigwa vipi?
  6. Kwenye tallying ya urais ndio hakuna mawakala, kwa uchaguzi wa 2020 hadi kwenye urais mawakala wa wagombea wawepo na independent tallying ziruhusiwe kujimlisha matokeo for verification ila sio kutangaza.
  7. Kufuatia matumizi ya BVR, tallying inafanywa electronically kwa zile zile scanned copies za matokeo ya vituo, hivyo wataiba wapi?.
  8. Kitu ambacho nakikubali, human errors na human mistakes zinaweza kutokea.
P
Yoote hayo sawa, isipokuwa mtangazaji wa jumla anaweza kumtangaza mgombea wake, na kukwambia wale wasiokubaliana Naye waende mahakamani hata kwenye matokeo ya Urais yasiyopingwa mahakamani.
Tume huru ni muhimu sana.
Uliyoyaeleza wewe ndizo siasa za uchaguzi.
 
Alichokifanya Gambo, japo ni ushujaa na kuwa decisive kwenye kutoa maamuzi bila kuchelewa, lakini mtindo huu aliotumia ni kinyume cha utawala bora. Huu ni ubabe.

Taasisi za serikali na mamlaka mbalimbali zinapaswa kufanya kazi kwa team work. Sio vizuri kwa RC kumu undermines Mkurugenzi in public, huku ni kumdhalilisha, kumbagaza na kumdogosha!.

Serikali inafanya kazi kwa maandishi, maadam Mkurugenzi wa Jiji aliandika barua with reasons, RC alipaswa kupinga hizo hoja kwa maandishi kitaalamu.

Wenye kufanya mipango miji na matumizi ya ardhi ni ofisi ya Mkurugenzi, sio ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Maadam eneo hili liko next to Ikulu, what if ikulu ilipangwa kupanuliwa?.

What if eneo hili liliweza ku accommodate mahakama ikiwa ndogo, ikipanuka kwa magnitude hiyo kila siku rais au VP akiwa Arusha itabidi shughuli za mahakama zisimame?.

What if halmashauri ime earmark eneo jingine more spacious, more convenient kwa jengo hilo kuliko hilo eneo hapo?.

Makonda, Gambo, Happy, Mnyeti etc ni baadhi ya ma RC populist wanafanya kazi kwa populism just like...
At the end of the day, it doesn't help!.

P

Mkuu hawa wote si wateule wa MKULU,
Nadhani wacha wapambane, by the way hawa wateule wengi ni wazee wa ule mjengo ndege( Then ngoja tuone)
 
Wache watumhuane
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo ametengua maamuzi ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha, aliyoyatoa ya kusitisha kibali cha ujenzi wa jengo la Mahakama katika mahakama kuu jijini hapa ,akidai kuwa ujenzi huo uendelee na hakuna MTU wa kuzuia.

Gambo alitua kama Mwewe katika eneo la ujenzi akitokea wilayani Ngorongoro alikokuwa ziarani ,ambapo alidai kwamba Mara baada ya mchakato wa ujenzi wa jengo hilo kuanza ,halimashauri ya jiji la Arusha ilitoa kibali cha ujenzi tarehe 18, desemba/2019 .

"Lakini tarehe 11/3/2020 halmashauri hiyohiyo iliandika barua nyingine kwa jaji mfawidhi ikimtaka kusitisha ujenzi wa jengo la Mahakama kwa madai kwamba jengo hilo lipo karibu na Ikulu ndogo hivyo kuwa na usalama mdogo"

Gambo amesema kuwa kimsingi Mahakama hii sio mpya ni jengo ambalo lipo miaka yote nashughuli za Mahakama zilikuwa zinafanyika hapa na Mahakama sio taasisi ya MTU binafsi ni taasisi ya umma.

"Mimi kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa natambua kuwa hii Mahakama haijawahi kuwa tishio la usalama hivyo nimeona kuwa barua iliyoandikwa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dkt Maulid Madeni haina mashiko hivyo kwa mamlaka niliyonayo naifuta rasmi na kuagiza ujenzi uendelee na hakuna MTU yoyote atakaye kuja kuzuia ujenzi wa jengo la Mahakama" amesema Gambo

Mkuu huyo wa mkoa alimhakikishia jaji mfawidhi kama kuna MTU yoyote atakuja hapa kuzuia ujenzi huo atoe taarifa Mara moja ili akamatwe na awekwe ndani kama kutakuwa na lawama yoyote Mimi ndio nitahangaika nayo
 
Back
Top Bottom