RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Mmeona mmemshindwa makonda mmehamia kwa gambo. Anafuata sijui atakua nani?
Ngoja tumchonganishe na Mange na Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima atakoma.

Natania tu, ila msimamo wangu upo pale pale.
 
Kama hasikilizwi na hawamheshimu kwa vile wanabebwa na mzee mwenyewe basi aachie tuu ngazi kamaalivyo taka kufanya wakati ule
 
Nchi hii mwenye nguvu ni bashite, akifatiwa na baba nkwabi, then gambo......majaliwa na samia ni mapambo
 
Sijasema ajali zitakosa kuwepo, wapi nimesema hilo?

Exactly, hujasema hazitakosa kuwepo ,Lakini umesema watu waache kujadili "kisicho cha kawaida" kilichotokea lakini wajadili kutatua "tatizo la ajali za barabarani" .......nikosoe kama nimekosea

Ndipo mimi nikakuambia, ajali zipo na zitaendelea kuwepo kwa sbb zinahusiana moja kwa moja na udhaifu wa kibinadamu....!!
 
Pumbavu, unajua Mh. Lema ni nani Arusha? Huyo Gambo mwenyewe hana nguvu aliyonayo mbunge wa kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa Arusha.

Kusema kwamba Mbowe alishawakilisha upinzani ni sawa lakini ikumbukwe kuwa Lema ndiye mbunge mahalia na alistahili kutoa pole kwa wafiwa ka niaba ya wapiga kura wake kama mbunge wa jimbo la Arusha.
Nguvu za kiume???Punguza povu kamanda
Kama kila mtu akitaka kutoa pole mpaka muda huu tungekuwa uwanjani.
Acheni kutumia misiba kutafutia kiki,mwambie Lema aende akawape pole wafiwa majumbani mwao,mbona Makamu wa Rais amefanya hivyo.
Hebu kuweni na utu jamani hamjali machungu ya wafiwa mnadai vipaza sauti tu
 
Kama hasikilizwi na hawamheshimu kwa vile wanabebwa na mzee mwenyewe basi aachie tuu ngazi kamaalivyo taka kufanya wakati ule

Chagueni sasa
kati ya Mbowe na Lema yupi awe muongeaji misibani
maana Hata kwenye msiba mnatafuta kiki
 
Hivi Huyo meya au mbunge angeenda kuongea angerudisha Roho za marehemu?
Acheni siasa kwny majonzi
Kama huna hoja kojoa ulale

Cha ajabu ni kuwa utasema mimi pia sina hoja kwa jibu langu kwako ila utakuwa unakosea kwakuwa siwezi kujibu matapishi kwa kutoa hoja inanipasa nami kutoa tapishe penye matapishi
 
Nguvu za kiume???Punguza povu kamanda
Kama kila mtu akitaka kutoa pole mpaka muda huu tungekuwa uwanjani.
Acheni kutumia misiba kutafutia kiki,mwambie Lema aende akawape pole wafiwa majumbani mwao,mbona Makamu wa Rais amefanya hivyo.
Hebu kuweni na utu jamani hamjali machungu ya wafiwa mnadai vipaza sauti tu

Hawa si watu bari Viatu
Niajabu mtu kulilia kuongea Msibani du!
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.

Unajuaje kama hao walioachwa walikua na maoni ya namna ya kudhibiti ajali!? Sio kila mtu anafanya siasa kama CCM walivyo! Fikiria mbali kidogo mkuu
 
Hawa watoto BASHITE na Gambo wanamdharau sana mama Samia Suluhu.
Hamna marefu yasio na ncha

Hao hawamdharau Makamu (Samia) pekeyake bali viongozi wote waliochini ya Raisi (Mawaziri wote, Wakurugenzi nk) baada ya raisi ni wao
 
Tuache mihemuko na mahaba niue ya uvyama na tujadiri with sober minds. Kuwaondoa Mayor na Mbunge wa Jiji kwenye list ya watoa neno ilikuwa ni uupuzi mkubwa ma mwendelezo wa siasa za kijinga. Hivi huyu Gambo angepoteza nini ambacho anacho kama angewapa wale mabwana japo dakika tatu tatu?
 
Huu Uzi wapuuzi wa LUMUMBA lazima waushambulie, hawana hoja sasa wanaongoza kwa vioja, ni kweli hata Lema angeongea wadogo zetu, kaka yetu na walimu wetu wasingefufuka, lakini ile busara tu ya kutaka undugu na Utanzania uwe imara,kulikuwa na shida gani RC kumuita Mbunge atoe neno, hata kwa dakika moja........CCM acheni hizo, mkisema CDM wanatafuta kiki kupitia msiba,mjitazame upande wenu........SIASA uchwara mnazofundishwa na baba yenu zinaliangamiza TAIFA.........taratibu kama moto wa nyikani, muda si mrefu msitu unateketea.
Huyu rais wa ajab

Huyu rais wa ajabu dikteta magufuli aliwakataza ccm kushirikiana na upinzani kwa shida na raha.....tunaona chuki za wazi kabisa bungeni ccm wakikataa kuwatetea watz.....ona kwenye msiba.....pale mwenyeji ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi ilitakiwa ndo aongee na sio mtu mwingine yeyote.....
NAJARIBU KUFIKIRIA magufuli ANGEKUWA KIONGOZI WA KIISLAMU KWA MFANO ANGEPIGA MARUFUKU WASISHIRIKIANE NA WAKRISTO
 
Exactly, hujasema hazitakosa kuwepo ,Lakini umesema watu waache kujadili "kisicho cha kawaida" kilichotokea lakini wajadili kutatua "tatizo la ajali za barabarani" .......nikosoe kama nimekosea

Ndipo mimi nikakuambia, ajali zipo na zitaendelea kuwepo kwa sbb zinahusiana moja kwa moja na udhaifu wa kibinadamu....!!
Ralph Nader, Mmarekani mwanaharakati aliyepata kugombea urais wa Marekani, miaka ya nyuma sana, alichunguza jinsi watu wanavyokufa kwa ajali za magari.

Akagundua kwamba, vifo vingi sana vinavyotokana na ajali za barabarani vingeweza kuzuiwa kama magari yangekuwa na mikanda ambayo watu wanafunga wakipanda (enzi hizo magari yalikuwa hayana mikanda).

Ralph Nader akafanya kampeni kubwa sana Marekani kuonyesha jinsi gari likiwa na mkanda na mtu akafunga mkanda, hata kukitokea ajali, nafasi ya mtu kufa au kuumia vibaya inapunguzwa sana na kufunga mkanda.

Makampuni ya magari yakampiga vita.

Hakukubali. Akakusanya watu na kufanya movement kubwa sana. Akaandikakitabu "Unsafe At Any Speed".

Mpaka ikapitishwa sheria kwamba magari yote yaliyotengenezwa kuanzia mwaka fulani ni lazima yawe na mikanda ya kufunga watu ili ikitokea ajali watu wasifariki kwa sana.

Leo hii gari kuwa na mkanda ni kitu standard.

Huyu bwana hakusema "ajali hazitakosa kuwepo" akaridhika. Alichunguza ajali zinatokeaje, akajua kwamba, licha ya ukweli kwamba ajali hazitakosa kuwepo, inawezekana kabisa kupunguza vifo vinavyotokana na ajali. Inawezekana kabisa kupunguza idadi ya ajali.

Nilichosema mimi si kwamba tufute ajali zisitokee kabisa, hilo litahitaji ujuzi ambao hatujaufikia bado.

Nilichosemani kwamba, mbona hata hatujiulizi chanzo cha ajalini nini na tunawezaje kudhibiti hizi ajali?

Ukishakubali "ajali zitakuwepo tu" umekubali kushindwa hata kuuliza maswali ya msingi tu kaunagalia jinsi gani ya kupunguza ajali na vifo.

Kwa habari zaidi kuhusu Ralph Nader na kampeni yake iliyopelekea magari kuwa na mikanda soma kitabu kinaitwa "Unsafe At Any Speed"

Here is the Wiki.

Unsafe at Any Speed - Wikipedia
 
Watu kutojiuliza haya maswali, imenifanya nianze kuogopa sana kama taifa tunaelekea wapi au labda tumefika wapi. Kutwa mijadala yetu ni mambo ya kitoto tu.

Mkuu ni wapi wewe umejadili kikubwa ukakosa kuungwa mkono? Anza wewe wengine watakufuata! Unalalamika as if wewe sio miongoni mwa hao watu wanaojadili mambo ya kitoto! Wewe ndo kiongozi wao, usijitenge kabisa.
 
Vuta - Nkuvuta una uhakika na unachokisema au ndio muendelezo wa "UZUSHI" wenu!
 
Back
Top Bottom