Hata mimi ningekuwa Gambo nisingeruhusu Lema na Lazaro wake kuropoka pale jukwaani, maana ni viumbe wanaotembea na laana. Hongera sana Gambo!Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Wacha wakulane wenyeweGambo anapewa kiburi na Rais,ndio maana kapata nguvu ya kumdharau Makamu wa Rais.
Endeleeni hivyo hivyo,kebehini hivyo hivyo,tukaneni hivyo hivyo,dharauni hivyo hivyo ,zidisheni kwa wingi muwezavyo .....but time comes tutaheshimiana...siku hiyo anaewapa jeuri atakuwa uhamishoni kwenye ulingo tupo sisi mwenyewe tukifundishana adabu.Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Wangesaini kitabu cha maombolezo, hiyo inatosha, zaidi ya hapo ni ujinga wa kufanya msiba uwanja wa siasa.
This whole thing is such a big zoo.
Huu sio msiba wa CCM ila hawa CCM wameonyesha political immaturity kupitia utoto uliofanywa na huyo Gambo.
Bashite alikuwepo Arusha.. yawezekana ni yeye aliyempenyezea Kijana yule..

Yaani,watu wameumia na ajali mbaya iliyoondoa uhai wa watoto wetu tena wenye umri mdogo,wanasiasa wako wanataka nafasi ya kuongea.Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Kiutawala mama samia yupo chini ya mkuu wa mkoa na mratibu wa shughuli za msiba ni mkuu wa mkoa na kamati yake
Wenye kusimamima hoja na balance za kisiasa ndio watunga sheria na wasimamia katiba ndio wattage maamuzi na wapindisha sheria hatujakosea tuko tunapostahiliSwali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Ndani ya Sheikh Amri Abeid Arusha. Kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya basi dogo. Watu 35 wakiwemo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 wa Shule ya Lucky Vicent.
Nilikuwa Jukwaa kuu. Karibu na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Muda wa salamu za rambirambi ukafika. Wakuu wa kiserikali na kisiasa wakawa wanakaribishwa. Mkaribishaji ni RC Mrisho Gambo wa Arusha. Mwenyeji
Wasaidizi wa Mama Samia wakapata ujumbe mfupi kutoka kwa Mbowe. Wakamletea Mama Samia. Mama Samia akamuagiza mmojawapo amuite RC Gambo ili amuagize jambo. Jambo muhimu la kisiasa na kiserikali. Amri
Mama Samia,Gambo alipokuja, akamuagiza Gambo awaongeze Mbunge Lema na Meya Lazaro kwa watoa salamu za rambirambi. Wakati huo,mzungumzaji alikuwa Ndugu Simbachawene. RC Gambo akatikisa kichwa kumkatalia Mama Samia. Akina Lema hawakuongezwa
Amri ikakataliwa. Mamlaka ikakosewa. Kinachotakiwa sasa ni kumuondoa Gambo kwakuwa Makamu wa Rais,kama taasisi ya pili ya juu nchini,lazima alindiwe heshima yake. Who is RC!?
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Hapana. Si kweli. Kusimamia hoja na balance za kisiasa ni jukumu la wanancho wote.Wenye kusimamima hoja na balance za kisiasa ndio watunga sheria na wasimamia katiba ndio wattage maamuzi na wapindisha sheria hatujakosea tuko tunapostahili