Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
uyu mama anamtoa ulimi Mulongo Magesa mpaka anataka kukimbia jiji.
Kudos Mkurugenzi.
Kudos Mkurugenzi.
yaani haya mabandiko yenu yanamuumbua huyu mama kuwa ni pandikizi lenu. Hoja hapo si ufisadi bali ni upandikizi wa huyo mama
Source please. maana taarifa yenyewe imekaa kiudakuudaku tu. waandishi wa vyombo gani alikuwa anaongea nao? au ni Tanzania Daima tu?
uyu mama anamtoa ulimi Mulongo Magesa mpaka anataka kukimbia jiji.
Kudos Mkurugenzi.
kama wewe ni mpinga ufisadi wa kweli basi nakupongeza kama unapinga kila kona na si ufisadi serikalini tu
Source please. maana taarifa yenyewe imekaa kiudakuudaku tu. waandishi wa vyombo gani alikuwa anaongea nao? au ni Tanzania Daima tu?
Nafurahi kusikia kila Jema linahusishwa na CHADEMA, na kila mpambanaji anahusishwa na CHADEMA...BIG UP Lizaboni , endeleeni hivyo hivyo!!!
Asante, kwa kuwa ni kweli kwamba simpendi fisadi yeyote, hata akitokea kuwa baba yangu mzazi!
kwa iyo kila anayefanya kazi na kupongezwa na watu wa kundi fulani lazima awe ni pandikizi wa kundi hilo???
Source please. maana taarifa yenyewe imekaa kiudakuudaku tu. waandishi wa vyombo gani alikuwa anaongea nao? au ni Tanzania Daima tu?
yaani haya mabandiko yenu yanamuumbua huyu mama kuwa ni pandikizi lenu. Hoja hapo si ufisadi bali ni upandikizi wa huyo mama
Wewe usiwe m.p.u.u.z.i jana tulikuwa kwenye press wote usiwe unapinga kila kitu pia kwann mtendaji akiwa strong anaitwa cdm? Kwani mama anakatazwa kuwa cdm? Sheria za utumishi zinasemaje? Serukamba you.
Usimpe sifa ambayo hana. Mkurugenzi wa Halmashauri hana ubavu wa kuvimbiana na Mkuu wa Mkoa. Ungewaona Wakurugenzi wanavyofyata mkia kwenye vikao vya RCC wala usingethubutu kusema maneno hayo
Kama watendaji wote wa serikali wangekuwa kama huyo mama mimi nisingeichukia CCM kiasi ninachoichukia! I just wish na wengine wabadilike ili tuwatokomeze kina Mulongo (mafisadi)
Usimpe sifa ambayo hana. Mkurugenzi wa Halmashauri hana ubavu wa kuvimbiana na Mkuu wa Mkoa. Ungewaona Wakurugenzi wanavyofyata mkia kwenye vikao vya RCC wala usingethubutu kusema maneno hayo
hivi mkuu katika ukoo wa PANYA kuna panya asiyedokoa na kama yupo atapata shida sana kuishi na hao panya wenzake hata kuhatarisha maisha yake.
=======ccm ni ukoo wa panya!!
Basi huyo Mama ni jembe lkn sio ikawa ni furahisha macho.
how old are you??