RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

Kama watendaji wote wa serikali wangekuwa kama huyo mama mimi nisingeichukia CCM kiasi ninachoichukia! I just wish na wengine wabadilike ili tuwatokomeze kina Mulongo (mafisadi)

Huyu mama Spora Liana hana mchezo na kazi; kumbukeni ni huyu huyu mama alipokuwa Mkuranga alimkamatishia yule mbunge wa ccm toka BAHI hela za MOTO!!!
 
Huyu mama Spora Liana hana mchezo na kazi; kumbukeni ni huyu huyu mama alipokuwa Mkuranga alimkamatishia yule mbunge wa ccm toka BAHI hela za MOTO!!!

Watu wa aina hii ni wachache sana, mathalan wengine kama siyo wanataka kunyamazishwa kwa maslahi basi wana nia ya dhati ya kupambana na ufisadi of which case I love that!
 
mama kuwa makini, fanya kazi kwa bidii, lakn angalia na usalama wa maisha yako,,,,
 
Binafsi nianze kwa kumpongeza mama Spora Liana ambaye ndiye Mkurugenzi mpya wa jiji la Arusha. Pongezi hizi kimsingi zinafuatana na taarifa aliyoitoa mama huyu jana kwa vyombo vya habari hususan kupanda kwa mapato ya jiji kwa tarkiban mwezi mmoja tu toka aingie jijini Arusha.

Kwa maelezo yake alipokutana na vyombo vya habari jana Spora alisema pamoja na changamoto anazokumbana nazo mapato ya jiji yapanda kutoka Shilingi milioni 450 hadi mia 700. Ambapo wanatamia kununua magari kwa ajili ya kutengeza barabara, magari ya taka na vile vile kuchimba shimo kubwa kwa ajili ya taka na mambo mengine kadha wa kadha. Pamoja na hayo, Changamoto kubwa aliyokutana nayo Spora ni swala mgongano wa kimaslahi kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndg Magesa Mulongo na baadhi ya wafanyabiashara ambao Magesa anawakingia kifua.

Spora Liana amesimamia kuhakikisha mabango yote ambayo hajalipiwa na ambayo mapato yake hayajulikani yanapokwenda basi yang'olewe jambo ambalo lilionekana kumkera RC na kuamua kuingilia kati kwamba kuna mtu anatakiwa aachwe. Hili lilimfanya mama huyu asimame kidete jambo ambalo lilipelekea mama huyu kumwomba Hoseah Mkurugenzi wa TAKUKURU ampe vijana ili amfunze Mulongo adabu lakini kabla ya hatua hiyo RSO aliingilia kati na kumwomba mama huyu amsamehe huyu bwana.

Akizungumza na waandishi jana Spora alisema nanukuu " kuna wakubwa wanasema nitumie busara katika swala la mabango nami nawaambia busara iliyo ni sheria zinazolinda Nchi na hasa jiji hili. Sina busara zaidi ya hiyo manake kama nikienda kinyume na sheria hizo hapo ndipo nitakapoonekana kuwa sina busara sasa kama wakubwa hawa wanadhani wana busara zaidi yangu ama hizo sheria basi waendelee kuniingilia katika shughuli zangu. Bodi na kamati zote ziko kisheria hivyo hatuna njia za mkato na kamwe mimi sijazoea njia za mkato." mwisho wa kunukuu.

Katika hali ya kushangaza wakati Mkurugenzi akiendelea na kikao na waandishi wa habari waliingia askari Polisi waliovamilia nguo za kiraia na kuanza kupiga picha wakijifanya ni waandishi wa habari lakini baadae ilijulikana kuwa walitumwa na mkubwa mmoja hata hivyo sababu ya kutumwa haikujulikana mpaka muda huu.

Mama Spora Liana anafahamika vyema kimsimamo na hasa katika swala la kukusanya mapato na hajali mtu yeyote pale anapoamini kuwa anasimamia haki. Na hili sakata la RC ni mwanzo kuna mengi yanakuja.

Kudos Spora Liana endelea kuipa Arusha heshima.
hakishikilia msimamo huo watamuambia yeye ni chadema na dio itakuwa mwisho wa uongozi wake
 
mama kuwa makini, fanya kazi kwa bidii, lakn angalia na usalama wa maisha yako,,,,

Mama huyu ni mzoefu amepitia misukosuko mingi; ameisha wahi kufanya kazi hata Monduli ambako ilibidi wamuondowe kwani alikuwa kikwazo kwa ufisadi waliokuwa wanataka kumshirikisha!!!
 
Kama hii habari ni yakweli basi Mungu azidi kutukuzwa. Ila ninavyomfahamu Mulongo asingevumilia mpaka mh. Spora Liana amalize kusema hayo yaliyoandikwa. Nakwambia angeshawafungulia vijana wake wa kwamrombo mapema na kama kawaida yao Arusha kingenuka .
 
Sijashuhudia maneno mazito kama haya kutoka kwa kiongozi wa serikali kwa muda mrefu sana!!


"Akizungumza na waandishi jana Spora alisema nanukuu " kuna wakubwa wanasema nitumie busara katika swala la mabango nami nawaambia busara iliyo ni sheria zinazolinda Nchi na hasa jiji hili. Sina busara zaidi ya hiyo manake kama nikienda kinyume na sheria hizo hapo ndipo nitakapoonekana kuwa sina busara sasa kama wakubwa hawa wanadhani wana busara zaidi yangu ama hizo sheria basi waendelee kuniingilia katika shughuli zangu. Bodi na kamati zote ziko kisheria hivyo hatuna njia za mkato na kamwe mimi sijazoea njia za mkato." mwisho wa kunukuu."

Sina chama lakini kama ni kweli ule mpango wangu wa kurudisha kadi ya magamba nauahirisha kwanza
 
dah hayo ndo majembe tunayotaka ndani jiji letu. ile aangalie si unajua moto nje nje.
 
Kumbe ndo maana mnampambaaaaaa. haya, mkichanganya siasa na utendaji hapo ndipo mnaharibu. kuna uzi ulikuwepo humu JF kuwa wakurugenzi wa halmashauri wengi ni CHADEMA na zaidi ya asilimia 70 wanaiibia serikali. kwa hili bandiko nimeamini

Mkuu siku Moja Moja jaribu basi kuacha Kufikiri kwa kutumia ma Didas
 
Kumbe ndo maana mnampambaaaaaa. haya, mkichanganya siasa na utendaji hapo ndipo mnaharibu. kuna uzi ulikuwepo humu JF kuwa wakurugenzi wa halmashauri wengi ni CHADEMA na zaidi ya asilimia 70 wanaiibia serikali. kwa hili bandiko nimeamini

Kamata mwizi men
 
yaani haya mabandiko yenu yanamuumbua huyu mama kuwa ni pandikizi lenu. Hoja hapo si ufisadi bali ni upandikizi wa huyo mama

Hapo ndipo napoamini kwamba ujira wa buku 7 unapumbaza akili. Hata kusifiwa mkurugenzi pia hutaki? Au unadhani kateuliwa na lema? Hivi buku 7 ni per post au per day? Maana umeshadondosha zaidi ya kumi.
 
[FONT=comic sans
ms]
sasa basi kwa hapa arusha mkuu wa mkoa amenyongewa chini asifanye
ufisadi wake kama awali.

Hupendi mafisadi yadhibitiwe ehh??
[/FONT]

Hongera sana mama Mkurugenzi kwa kuongeza pato la jiji kinyume na huyu
magesa alikua anashiriki kuiba pesa na kusingizia kuwa wapinzani ndo
wanapunguza mapato arusha.

kwani mkuu wa mkoa anaongoza arusha mjini tu? Arusha si kuna wilaya nyingi? kwa nini iwe arusha mjini tu? kwani mkuu wa mkoa anatekeleza miraddi gani? acheni kujiweka utaahira. sipora si size ya Mulongo. hata kwa mkuu wa wilaya tu sipora anakuwa mdogo
 
Wanaotaka chanzo cha habari ni TBC dira ya mchana.

Nimeangalia dira ya mchana na taarifa hiyo imeoneshwa vizuri. hakuna sehemu ambayo amegusia utumbo ulioandikwa humu ndani. yeye alichokiema ni kuwa amefanikiwa kuongeza mapato ambayo wanatumia kuboresha miundombinu. pia amesema kuwa si diwani wala mkurugenzi ambaye anaweza kushawishi mtu kupewa zabuni isipokuwa bodi ya zabuni tu. sasa hili la Mulongo sijui limeibuka vipi
 
Wembe ni huo Mama Liana. Ngoja nirudi nitakusaidia kuunoa tuwanyoe nywele zote hao mafisadi tena bila povu au maji! Naja!
 
Hapo ndipo napoamini kwamba
ujira wa buku 7 unapumbaza akili. Hata kusifiwa mkurugenzi pia hutaki?
Au unadhani kateuliwa na lema? Hivi buku 7 ni per post au per day? Maana
umeshadondosha zaidi ya kumi.

sikatai mkurugenzi kusifiwa. ninachokataa hapa ni ujinga wa baadhi ya watu humu jf kutengeneza mazingira ya ugomvi baina ya Mulongo na Sipora. kwa wale wasiomjua Sipora KAZAA na ndugu yake Mulongo na ni Mulongo ndiye aliyemfanyia mpango wa uhamisho toka Mkuranga hadi Arusha
 
Wembe ni huo Mama Liana.
Ngoja nirudi nitakusaidia kuunoa tuwanyoe nywele zote hao mafisadi tena
bila povu au maji! Naja!

toka mkaririshwe wimbo wa ufisadi, kila sehemu hata kama haihusiki lazima mtaje neno fisadi
 
Binafsi nianze kwa kumpongeza mama Spora Liana ambaye ndiye Mkurugenzi mpya wa jiji la Arusha. Pongezi hizi kimsingi zinafuatana na taarifa aliyoitoa mama huyu jana kwa vyombo vya habari hususan kupanda kwa mapato ya jiji kwa tarkiban mwezi mmoja tu toka aingie jijini Arusha.

Kwa maelezo yake alipokutana na vyombo vya habari jana Spora alisema pamoja na changamoto anazokumbana nazo mapato ya jiji yapanda kutoka Shilingi milioni 450 hadi mia 700. Ambapo wanatamia kununua magari kwa ajili ya kutengeza barabara, magari ya taka na vile vile kuchimba shimo kubwa kwa ajili ya taka na mambo mengine kadha wa kadha. Pamoja na hayo, Changamoto kubwa aliyokutana nayo Spora ni swala mgongano wa kimaslahi kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndg Magesa Mulongo na baadhi ya wafanyabiashara ambao Magesa anawakingia kifua.

Spora Liana amesimamia kuhakikisha mabango yote ambayo hajalipiwa na ambayo mapato yake hayajulikani yanapokwenda basi yang'olewe jambo ambalo lilionekana kumkera RC na kuamua kuingilia kati kwamba kuna mtu anatakiwa aachwe. Hili lilimfanya mama huyu asimame kidete jambo ambalo lilipelekea mama huyu kumwomba Hoseah Mkurugenzi wa TAKUKURU ampe vijana ili amfunze Mulongo adabu lakini kabla ya hatua hiyo RSO aliingilia kati na kumwomba mama huyu amsamehe huyu bwana.

Akizungumza na waandishi jana Spora alisema nanukuu " kuna wakubwa wanasema nitumie busara katika swala la mabango nami nawaambia busara iliyo ni sheria zinazolinda Nchi na hasa jiji hili. Sina busara zaidi ya hiyo manake kama nikienda kinyume na sheria hizo hapo ndipo nitakapoonekana kuwa sina busara sasa kama wakubwa hawa wanadhani wana busara zaidi yangu ama hizo sheria basi waendelee kuniingilia katika shughuli zangu. Bodi na kamati zote ziko kisheria hivyo hatuna njia za mkato na kamwe mimi sijazoea njia za mkato." mwisho wa kunukuu.

Katika hali ya kushangaza wakati Mkurugenzi akiendelea na kikao na waandishi wa habari waliingia askari Polisi waliovamilia nguo za kiraia na kuanza kupiga picha wakijifanya ni waandishi wa habari lakini baadae ilijulikana kuwa walitumwa na mkubwa mmoja hata hivyo sababu ya kutumwa haikujulikana mpaka muda huu.

Mama Spora Liana anafahamika vyema kimsimamo na hasa katika swala la kukusanya mapato na hajali mtu yeyote pale anapoamini kuwa anasimamia haki. Na hili sakata la RC ni mwanzo kuna mengi yanakuja.

Kudos Spora Liana endelea kuipa Arusha heshima.

nimependa penye red hapo, msimamo wa kimapinduzi
 
sikatai mkurugenzi kusifiwa. ninachokataa hapa ni ujinga wa baadhi ya watu humu jf kutengeneza mazingira ya ugomvi baina ya Mulongo na Sipora. kwa wale wasiomjua Sipora KAZAA na ndugu yake Mulongo na ni Mulongo ndiye aliyemfanyia mpango wa uhamisho toka Mkuranga hadi Arusha

Unaona ulivyo kenge maji........ Kwa hyo kama kazaa na nduguye that will never legalise upuuzi anaoufanya Mulongo..... Spora kashasema hana shortcuts and that is she... Monduli wanamfahamu, Mkuranga wanamfahamu, Tabora wanamfahamu.

Sasa hizi hoja zako za kipuuzi zipeleke huko huko zikamfariji Mulongo na si watu wenye akili zao humu ndani. Imagine eti Mulongo ndiye aliyeshawishi Spora aje hapa ur such a idiote...... Fanya tafiti kwanza na jitahidi kutofautisha posho unayopewa na uhalisia wa jambo.

Halafu ninachoshangaa ni juzi Mulongo kakutana na wewe akakupa hii kazi ya kumsaidia kujibu hoja humu lakini najiuliza juzi ulikuwa wapi alivyoshambuliwa??? Jitahidi manake najua ukimess kidogo tu huyu mkurya anakuingizia kitu kizito........

Acha wenye akili zao wachangie hoja na wampongeza Spora kwa kazi nzuri toa uchichidodo hapa......
 
Back
Top Bottom