RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

Nimeangalia dira ya mchana na taarifa hiyo imeoneshwa vizuri. hakuna sehemu ambayo amegusia utumbo ulioandikwa humu ndani. yeye alichokiema ni kuwa amefanikiwa kuongeza mapato ambayo wanatumia kuboresha miundombinu. pia amesema kuwa si diwani wala mkurugenzi ambaye anaweza kushawishi mtu kupewa zabuni isipokuwa bodi ya zabuni tu. sasa hili la Mulongo sijui limeibuka vipi

Je unajua kwanini rep power yako ni 0 ?
 
Cheki historia yake tangu alipokuwa Kisarawe kam siyo Mkuranga. Huyu mama hana mchezo. Ni mtendaji makini sana. Na kwa sababu hiyo inawezekana asipendwe na mafisadi. Big up mama Liana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nimeangalia dira ya mchana na taarifa hiyo imeoneshwa vizuri. hakuna sehemu ambayo amegusia utumbo ulioandikwa humu ndani. yeye alichokiema ni kuwa amefanikiwa kuongeza mapato ambayo wanatumia kuboresha miundombinu. pia amesema kuwa si diwani wala mkurugenzi ambaye anaweza kushawishi mtu kupewa zabuni isipokuwa bodi ya zabuni tu. sasa hili la Mulongo sijui limeibuka vipi

Lumumba si mchezo wamekunyang'anya akili yote!!!hapo ulipo unatumia tumbo.
 
Sijashuhudia maneno mazito kama haya kutoka kwa kiongozi wa serikali kwa muda mrefu sana!!


"Akizungumza na waandishi jana Spora alisema nanukuu " kuna wakubwa wanasema nitumie busara katika swala la mabango nami nawaambia busara iliyo ni sheria zinazolinda Nchi na hasa jiji hili. Sina busara zaidi ya hiyo manake kama nikienda kinyume na sheria hizo hapo ndipo nitakapoonekana kuwa sina busara sasa kama wakubwa hawa wanadhani wana busara zaidi yangu ama hizo sheria basi waendelee kuniingilia katika shughuli zangu. Bodi na kamati zote ziko kisheria hivyo hatuna njia za mkato na kamwe mimi sijazoea njia za mkato." mwisho wa kunukuu."

Wangepatikana mawaziri 10 tu wenye maneno kama haya na kuyasimamia hakika mambo yangekuwa sivyo kama yalivyosasa nchini.
 
Back
Top Bottom