We shondola toa chuki zako binafsi na unafiki hapa jamvini. Ni wivu tu unakusumbua na watu wenye wivu huwa mnaishia kulalamika. Inaonekana uko hapo osifini kwa rc na unakerwa na jamaa kukalia hicho kiti. Utakufa masikini wewe kwa roho yako mbaya, toa shida zako na njaa zako hapa.
Kaka magesa tuko pamoja bwana, piga kazi watu wa arusha tuko nyuma yako. Wacha wenye wivu wajinyonge sisi tunakukubali.
Akiondoka Mulongo anaingia Mwigulu sasa sijui mtaponea wapi.
We shondola toa chuki zako binafsi na unafiki hapa jamvini. Ni wivu tu unakusumbua na watu wenye wivu huwa mnaishia kulalamika. Inaonekana uko hapo osifini kwa rc na unakerwa na jamaa kukalia hicho kiti. Utakufa masikini wewe kwa roho yako mbaya, toa shida zako na njaa zako hapa.
Kaka magesa tuko pamoja bwana, piga kazi watu wa arusha tuko nyuma yako. Wacha wenye wivu wajinyonge sisi tunakukubali.
ukiona kuna -------- anafanya upumbavu, halafu waliomtuma kazi hawauoni upumbavu wake basi ujue ndio waliomtuma kuutekeleza.au labda ni wapumbavu jumzidi huyo -------- au hukuona aluyetoa amri ya kuua akipandishwa cheo.huoni aliyetoa cheo ndo muuaji zaidi.akili kumkichwaHawa ndio viongozi WAPUMBAVU anaowakumbatia Rais wetu JK na kufanya uongozi wake kwa ujumla uonekane hauna maana....Viongozi wapumbavu kama huyu mkuu wa mkoa hawana hadhi ya kuongoza watanzania wenye akili zao..! He better go back home and become a peasant
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mulongo hajui kutofautisha chuga na bwagamoyo, na bado tutamvizia na kumpa kichapo mpaka atajuta