lile ni jembe haliwezi kuondolewa hata mumpakazie vipi, mpaka wezi wote pesa za umma awamalize hapo arusha kujilipua mjilipue wenyewe kisha aondolewe Maggese?
lile ni jembe haliwezi kuondolewa hata mumpakazie vipi, mpaka wezi wote pesa za umma awamalize hapo arusha kujilipua mjilipue wenyewe kisha aondolewe Maggese?
mbowe ana ushahidi mwambieni aonyeshe au aupeleke kwenye vyombo vya kimataifa, mbona haonyeshi ushahidi aliousema?Nakushangaa unapotetea uovu. Kwa kauli hiyo hata kanisani waumini walijilipua wenywe? Amka watanzania wa leo siyo wale wa zamani kila kitu kiko wazi. Siri zenu ziko nje kama anayejificha kwenye shamba la karanga.
We shondola toa chuki zako binafsi na unafiki hapa jamvini. Ni wivu tu unakusumbua na watu wenye wivu huwa mnaishia kulalamika. Inaonekana uko hapo osifini kwa rc na unakerwa na jamaa kukalia hicho kiti. Utakufa masikini wewe kwa roho yako mbaya, toa shida zako na njaa zako hapa.
Kaka magesa tuko pamoja bwana, piga kazi watu wa arusha tuko nyuma yako. Wacha wenye wivu wajinyonge sisi tunakukubali.
Hosea na watu wake wasingethubutu kuchukua hatua yoyote. wanalindana hawa watu wa CCM.
Waarusha wanasema.........NA MBADO..........
Aondoke Mulongo alafu iweje ? kama anawakera si muondoke nyie.
Na JK ukimuondoa Mulongo Arusha imekwisha.
You might be GM!
Ila tatizo huyu jamaa kachokwa
Na kila mtu aliyemsaidia ni RSO; Hoseah was ready! Mulongo bana utadhani ndiye anayemtawaza JK