Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Katika hali ya kudhihirisha namna Bwana huyo alivyo mnyama na asivyokuwa na ushirikiano na viongozi wenzie, hivi majunzi Bwana Magesa Mulongo aliandaliwa janga ambalo asingeweza kusahau maishani mwake.
Magesa Mulongo alikuwa aingie mikononi mwa TAKUKURU bila chenga na mikakati yote ilikuwa imeshakamilika na aliyekuwa anafanya mikakati yote hii ni Kiongozi mwenzie mwandamizi, jasiri, na mwenye uwezo wa kuthubutu na asiyeyumbishwa na hila, fitna na kiherehere cha Magesa.
Jiji hutoa vibali vya tenda kwa watu mbali mbali wanaoomba tenda hizo; sasa kuna swala la mabango ambapo kuna mtu aliomba na akapewa cha kusikitisha mtu mwingine akatumia mgongo wa Magesa akimshawishi kwa Mlungula na jamaa alivyo na tamaa akaingia kingi na kutaka kuanza kuyumbisha maamuzi yaliyokwisha tolewa ama kufikiwa na vikao husika.
Hapo ndipo huyu mwanamama alipoamua kuingia kazini na kumtumia Magesa ujumbe kupitia wapambe wake kwamba kama alizoea hiyo tabia kwa wengine yeye hayuko hivyo na waheshimiane kila mtu kwa nafasi yake. Magesa amweshimu sana RSO aliyenyaka habari hizi mapema na kuamua kumkimbilia huyu mwanamama na kumwomba radhi ili aachane kabisa na mpango aliokuwa nao wa kuhakikisha Magesa ananyakwa na vijana wa Dr. Hoseah hapo ndipo mwanamama huyu alipolegeza makali yake under conditions kwamba Magesa aonywe na ache tabia zake zisizo na kichwa wala miguu na amkome kabisa.
Ndgu Mulongo ujumbe wangu ni huu kumbuka ulivyomtesa na kumsumbua sana aliyekuwa Ag. Director hapo Arusha Bwana Mkombole ulivyo na roho mbaya na usivyojua kufuata taratibu ukataka asipewe na Ukurugenzi bila kujua dogo ni homeboy wa Hawa Ghasia ndo mana Hawa alikuwa akija Arusha kwenye mambo ya Itifaki wewe ulikuwa unapigwa benchi na anapokelewa Mkombole wewe unapewa taarifa dogo akakutunishia -misuli mbaya kabisa na sasa hivi ni Mkurugenzi Babati. Bado ukashawishi Madiwani wamwandalie ajali Madiwani wakakugeuka kwa kuona jinsi akili yako ilivyofupi.
Leo hii tena unataka kuendeleza uzindaki wako aiseee mi nadhani kama JK alikupatia Job description embu rejea ukaisome au jikumbushe maneno aliyokuwa anakuambia wakati akikutengenezea tai ulipokuwa unaapishwa Ikulu manake utagharamika na sasa hivi mpaka ma'DC hawataki kabisa kukusikia na wanajua utakapoangukia muda si mrefu. Arusha utaondoka ila isiwe kwa aibu za namna hii. Tunajua lile Shamba lako la Ilboru ulilonunua zaidi ya Milioni 60 na mengine mengi siku zinahesabika.-
Acha mbwembwe na dharau sisi tulifikiri ni wananchi tu kumbe mpaka Viongozi wenzio waandamizi halafu huwa unakera sana pale unaposema vyanzo vyako vimekuambia a, b, c, d mbona kwenye hili vyanzo vyako havikukupa ushirikiano. Ukrya kwenu hapa kazi tu....... ........
Mama tunakupongeza sana yani mno; mfunze huyu adabu ajue umetoka mbali na hufanyi kazi kufurahisha mtu bali uwezo wako uheshimike iwe tunu kwa Taifa na familia yako.